Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni kwa Neema na na Baraka za Mungu haya yote yanawezekana, uvivu na kukata tamaa ni kitu mbaya sana 🐒Aise kweli hamlali mnajitolea kwa chama shuguli back 2 back hampowi 😄
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kwa Neema na na Baraka za Mungu haya yote yanawezekana, uvivu na kukata tamaa ni kitu mbaya sana 🐒Aise kweli hamlali mnajitolea kwa chama shuguli back 2 back hampowi 😄
Ova
Mbona watu huko wana matumbo makubwa sasa 😄ni kwa Neema na na Baraka za Mungu haya yote yanawezekana, uvivu na kukata tamaa ni kitu mbaya sana 🐒
Hata shetani ni mungu kwa waabudu shetaniMama ni mpango wa Mungu Mwenyewe.
Ila Lucas! Anavyotoa taarifa utadhani katumwa na ana cheo kikubwa huko CCMKikao cha watekaji na wauaji, ila malipo ni hapa hapa duniani.
Ni mnafiki wa kujitoleaIla Lucas! Anavyotoa taarifa utadhani katumwa na ana cheo kikubwa huko CCM
Lucas huwa hupendi kuambiwa ukweli.Naposema kuwa nitakujibu maana yake nitakujibu kwa majibu yenye kuambatana na katiba na siyo porojo.sijaseka kuwa umeulizwa swali .na kujibu swali au jambo siyo lazima uwe umeulizwa swali .unaweza kujibu kupinga taarifa iliyotolewa na mtu.mfano mtu anatoa taarifa kuwa kwa ushahidi nyaraka hizi na hizi jambo fulani lipo hivi.hivyo wewe mlengwa mwenye akili Timamu huwezi kukaa kimya kwakuwa hujaulizwa .mwenye akili Timamu nawe utajibu kwa kutumia ushahidi wako wa kinyaraka au katiba au sheria au taratibu au miongozi.huwezi kukaa kimya kama zuzu tu au mbumbumbu tu jambo linalokuwa linaonyesha kuwa umekubaliana na majibu au taarifa yaliyotolewa na mtu fulani.
Wewe umetoa hoja yako ni haki yako.nami nitakuja na hoja yangu ni haki yangu na huwezi ukasema na kuniambia hakuna swali .hiyo siyo sawa hata kidogo .pia huweza kuniambia nikushukuru kwa kunipa elimu.hiyo nayo sikubaliani na maneno yako.
Kwanza ni dharau ,pili ni kujiona kuwa wewe upo sawa na mawazo yako ndio alfa na omega na wewe ndiye upo sahihi na hustahili kupingwa wala kukosolewa wala kujibiwa tofauti na mawazo yako.
Unapojibu hoja au kutoa hoja usijione kuwa wewe una akili kuliko wengine au mawazo yako ni sahihi na bora sana kuliko wengine.huo ni ugonjwa na udhaifu.kama umetoa hoja kwa vitu unavyoita facts au ukweli basi acha Mwingine aje na hoja yake kwa vitu na ushahidi wake.hoja hushindanishwa kwa hoja na siyo makidai na majigambo
.wewe umeweka hoja acha nami niweke hoja .
Kumbe na wewe umemstukia kada mwenzako kuwa yupo yupo tu ukada wake ni wa hapa napale tu.Duh...!, niliwahi kusisitiza humu kuwa mtu kuwa kichaa sio lazima aokote makopo!, kiukweli kabisa tuna vichaa wengi humu kuliko tunavyojidhania!. I doubt hata kama umewahi kuisoma katiba ya CCM!. Tusilete ushabiki maandazi humu, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu!, nakusubiria kwa hamu ulete huo ushahidi na ukiukosa, nathibitisha humu kuwa wewe ni miongoni mwa waliomo kwenye kundi hili Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania!. Mtu unaweza kuwa unajibishana na mtu humu ukijua ni timamu kumbe...
Nakusubiria!.
P
Mkuu huyo jamaa ni kidampa tu huoni hata Katiba ya CCM yenyewe haijui anapuyanga tu kama gari bovu.Utakuwepo kwenye kikao hicho 😄
Ova
Natamani litokee tetemeko la ardhi hilo jengo wanapofanyia kikao lizame chini ya ardhi ili Tanganyika yetu ipone.Ndugu zangu Watanzania ,
Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.
Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.
Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.
Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama unawajua kwanini huwataji?Ok let us not dwell on this, what about the knowns ones to remain unknown indefinitely yaani wanao julikana kwendelea kuto julikana, (watekaji), itakuwa moja ya ajenda?
Utazama wewe na ushetani wakoNatamani litokee tetemeko la ardhi hilo jengo wanapofanyia kikao lizame chini ya ardhi ili Tanganyika yetu ipone.
Hakuna ukweli hapoLucas huwa hupendi kuambiwa ukweli.
Siyo rahisi ki kihivyo, ila kwa hao wauaji itakuwa bomba sana.Utazama wewe na ushetani wako
HAKIKA anaupiga mwingi katika suala la watu kupotezwa na wasiojulikana.Kwa hakika anaupiga Mwingi.
Siyo rahisi ki kihivyo, ila kwa hao wauaji itakuwa bomba sana.Utazama wewe na ushetani wako
Wasiojulikana kwako wewe, polisi wanawajua ndiyo kazi yao wamesomea mambo ya intelijensia, na kama hawawajui wakitaka kuwajua wanaweza, mimi ukiniuliza kuhusu ujasiriamali nitakujibu mfano ukiniuliza kwanini biashara zinakufa nitskujibu vizuri hata basic electronics najuaKama unawajua kwanini huwataji?
Hadi sasa ameshavunja record ya unyama uliofanyika awamu ya tanoHAKIKA anaupiga mwingi katika suala la watu kupotezwa na wasiojulikana.
Apongezwe kwakweli.
Kumbe hata Katiba ya CCM huijui wewe ni shabiki oya oya tuHakuna ukweli hapo