CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

Ndugu zangu Watanzania ,

Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.

Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.

Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.

Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muangukiwe na mufie humo
 
Nitakujibu baadaye hoja hii
Unaweza kujibu kitu kama umeulizwa swali, hapo hakuna swali, ni facts tuu, elimu na uelewa tuu kama ilivyo kwa katiba ya nchi, viongozi wengi tuu wanaishika na kuapa kuilinda lakini hawaijui, hawajaisoma na wanaivunja, vivyo hivyo kwa wana CCM wengi, hawaijui katiba ya CCM, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu ukifiwa na halmashauri kuu ndipo inakuja kamati kuu!.
Nilidhani utajishukuru kukuelimisha kumbe unajiandaa kujibu!, haya nasubiria jibu lako la kikao cha juu kabisa cha CCM.
P
 
Naposema kuwa nitakujibu maana yake nitakujibu kwa majibu yenye kuambatana na katiba na siyo porojo.sijaseka kuwa umeulizwa swali .na kujibu swali au jambo siyo lazima uwe umeulizwa swali .unaweza kujibu kupinga taarifa iliyotolewa na mtu.mfano mtu anatoa taarifa kuwa kwa ushahidi nyaraka hizi na hizi jambo fulani lipo hivi.hivyo wewe mlengwa mwenye akili Timamu huwezi kukaa kimya kwakuwa hujaulizwa .mwenye akili Timamu nawe utajibu kwa kutumia ushahidi wako wa kinyaraka au katiba au sheria au taratibu au miongozi.huwezi kukaa kimya kama zuzu tu au mbumbumbu tu jambo linalokuwa linaonyesha kuwa umekubaliana na majibu au taarifa yaliyotolewa na mtu fulani.

Wewe umetoa hoja yako ni haki yako.nami nitakuja na hoja yangu ni haki yangu na huwezi ukasema na kuniambia hakuna swali .hiyo siyo sawa hata kidogo .pia huweza kuniambia nikushukuru kwa kunipa elimu.hiyo nayo sikubaliani na maneno yako.

Kwanza ni dharau ,pili ni kujiona kuwa wewe upo sawa na mawazo yako ndio alfa na omega na wewe ndiye upo sahihi na hustahili kupingwa wala kukosolewa wala kujibiwa tofauti na mawazo yako.

Unapojibu hoja au kutoa hoja usijione kuwa wewe una akili kuliko wengine au mawazo yako ni sahihi na bora sana kuliko wengine.huo ni ugonjwa na udhaifu.kama umetoa hoja kwa vitu unavyoita facts au ukweli basi acha Mwingine aje na hoja yake kwa vitu na ushahidi wake.hoja hushindanishwa kwa hoja na siyo makidai na majigambo
.wewe umeweka hoja acha nami niweke hoja .
 
Ndugu zangu Watanzania ,

Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.

Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.

Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.

Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mashaallah ni mbubujiko tu wa habari njema.
 
Unaweza kujibu kitu kama umeulizwa swali, hapo hakuna swali, ni facts tuu, elimu na uelewa tuu kama ilivyo kwa katiba ya nchi, viongozi wengi tuu wanaishika na kuapa kuilinda lakini hawaijui, hawajaisoma na wanaivunja, vivyo hivyo kwa wana CCM wengi, hawaijui katiba ya CCM, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu ukifiwa na halmashauri kuu ndipo inakuja kamati kuu!.
Nilidhani utajishukuru kukuelimisha kumbe unajiandaa kujibu!, haya nasubiria jibu lako la kikao cha juu kabisa cha CCM.
P
Hakuna wakujibu zaidi ya kusifia sifia tu

Ova
 
Huyu si alikataa kuwa hana cheo chamani, mbona leo ametumwa na Makala kupost tangazo
 
Wewe umetoa hoja yako ni haki yako.nami nitakuja na hoja yangu ni haki yangu na huwezi ukasema na kuniambia hakuna swali .hiyo siyo sawa hata kidogo .pia huweza kuniambia nikushukuru kwa kunipa elimu.hiyo nayo sikubaliani na maneno yako.

Kwanza ni dharau ,pili ni kujiona kuwa wewe upo sawa na mawazo yako ndio alfa na omega na wewe ndiye upo sahihi na hustahili kupingwa wala kukosolewa wala kujibiwa tofauti na mawazo yako.

Unapojibu hoja au kutoa hoja usijione kuwa wewe una akili kuliko wengine au mawazo yako ni sahihi na bora sana kuliko wengine.huo ni ugonjwa na udhaifu.kama umetoa hoja kwa vitu unavyoita facts au ukweli basi acha Mwingine aje na hoja yake kwa vitu na ushahidi wake.hoja hushindanishwa kwa hoja na siyo makidai na majigambo
.wewe umeweka hoja acha nami niweke hoja .
Duh...!, niliwahi kusisitiza humu kuwa mtu kuwa kichaa sio lazima aokote makopo!, kiukweli kabisa tuna vichaa wengi humu kuliko tunavyojidhania!. I doubt hata kama umewahi kuisoma katiba ya CCM!. Tusilete ushabiki maandazi humu, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu!, nakusubiria kwa hamu ulete huo ushahidi na ukiukosa, nathibitisha humu kuwa wewe ni miongoni mwa waliomo kwenye kundi hili Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania!. Mtu unaweza kuwa unajibishana na mtu humu ukijua ni timamu kumbe...
Nakusubiria!.
P
 
Duh...!, niliwa kusisitiza humu kuwa mtu kuwa kichaa sio lazima aokote makopo!, kiukweli kabisa tuna vichaa wengi humu kuliko tunavyojidhania!. I doubt hata kama umewahi kuisoma katiba ya CCM!. Tusilete ushabiki maandazi humu, kikao cha juu kabisa cha CCM ni mkutano mkuu!, nakusubiria kwa hamu ulete huo ushahidi na ukiukosa, nathibitisha humu kuwa wewe ni miongoni mwa waliomo kwenye kundi hili Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Nakusubiria!.
P
Hao katiba waijulie wapi
We waambie kusifiasifia na uchawa tu ndicho wanachojuwa

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania ,

Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.

Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.

Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.

Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mna kwenda kupanga jinsi polisi ita kavyo endelea kuwa beba? Maana huwezi kuwa na chombo kama polisi na intelijensia badala ya kuweka mitego ukamate genge la uhalifu, una ita wana habari kutishia kuzuia uhalifu. Yaani maigizo ya mdaku
 
Kaa kwa kutulia
 
Swali fikirishi nini kipimo cha kikao kizito, na je hicho kipimo hupatikana kabla ya kikao ama baada ya kikao, mimi nilidhani kina tegemeo aina ya agenda na malumbano ya hoja zilizoko mezani, bila kusahau the so called 'situational analysis of current trends and burning issues in the country and within the party' mojawapo kati ya hayo ninalo liona mimi ni utekaji na wanao julikana kuendelea kutoa julikana, hili linawezekana linaonekana la kawaida kwa wale wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
 
Back
Top Bottom