CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

Mema yanakuja Mama 5 tena hakika Tanzania ni yakijani kila sehemu ni vifijo na nderemo hakika Tanzania imefunguka kuanzia elimu,ajira vijana wanazidi kuneemeka
 
Sijaelewa. Kikao tangulizi 31 Sept 2024 hala kinafuata cha tarehe 2 Sept 2024. Au mimi ndiye ninayesoma vibaya!!
Screenshot_20240830-225043_1.jpg
 
The best thing ni kuja na solutions za matatizo ya maboss wao, "wananchi"...na mambo yatakuwa mepesi..
Otherwise, hii ni dunia sio kitongoji..tupo katika information era, people are now really questioning
 
CCM inaendelea kutatua kero za watanzania na kuwapatia majibu kila uchao.hakuja jiwe linaloachwa Pasipo kugeuzwa .hakuna tatizo au kero inayoachwa Pasipo kutafutiwa ufumbuzi.
 
Ndugu zangu Watanzania ,

Chama cha Mapinduzi chini ya uwenyekiti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitakuwa na kikao maalumu na kizito sana cha Kamati kuu.

Ikumbukwe ya kuwa hiki ni kikao cha juu kabisa na chenye kutoa mstakabali wa Masuala mbalimbali ya chama na Taifa kwa ujumla wake.ni kikao ambacho maamuzi yake hutoa Dira na muelekeo wa mambo mbalimbali.

Ndio sababu vikao vya namna hiyo hufautiliwa sana na vyombo mbalimbali vikubwa vya kitaifa na kimataifa.ni vikao ambavyo hata vyama vya upinzani husimamisha shughuli zake zote kwa ajili ya kutenga muda wa kutosha kufuatilia vikao hivi na maamuzi na maazimio yake.

Ni vikao ambavyo huteka anga la siasa za Tanzania pamoja na kuitetemesha nchi,ni vikao ambavyo huteka mijadala yote ya siasa za nchi hii. Ni vikao ambavyo husubiriwa Na watanzania wote. Tukae kwa utulivu tusubiri nini kitajili kutoka huko. Tulizeni mioyo na wala msiwe na presha.View attachment 3083087

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
kikao cha mustakabali wa uelekeo wa siasa safi nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao...

kila la kheri comrades ladies and gentlemen 🙏

in advance,
karibu sana Makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa
 
Nakuunga Mkono Mheshimiwa Mbunge na naamini pia na Mwakani lazima uwepo Mjengoni.
 
Back
Top Bottom