BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam ametoa taarifa ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo aliyeambatana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu nchini China. Taarifa hiyo imetolewa muda mfupi baada ya Katibu Mkuu Chongolo na ujumbe wake kuwasili nchini kutoka China.