CCM yalaani mauaji ya mjumbe wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao

Wanafiki shetani wakubwa nyie
 
Makala usiwafanye watu wote ni wajinga. Chadema imelalamika kutekwa vijana wake kwa mazingra ambayo ni wazi ni polisi/TISS, na hamjawahi toa tamko as if wamekufa sisismizi. Leo unawadhihaki/kujeli Chadema kwa visalamu vya kujikosha
Watakuja kulipa
 
Mtu katekwa na Magari ya polisi, kauawa Leo mnadai mnataka uchunguzi ufanyike. Nani afanye huo uchunguzi?
 
Nilipoona TU majambazi ya utawala wa magufuli yanarudishwa Kwa Kasi madarakani, nilishajua tunakoelekea, tutaona mengi.
 
Reactions: UCD
Hizi ni Salamu za Kejeli
 
Nilipoona TU majambazi ya utawala wa magufuli yanarudishwa Kwa Kasi madarakani, nilishajua tunakoelekea, tutaona mengi.
Kwanini unahangaika na Magufuli ambaye tayari yuko mbiguni anaendelea kuongoza Malaika!!?
 
Unaongea kama una-KUNYA, msiba usikie kwa jirani, iko siku na wewe yatakukuta mjinga wewe huna haya.
 
Ata Lisu alipo pigwa Lisasi walilaani hivyo hivyo. wauaji wanatumia technic kukidhoofisha CDM wana deal na root wakiacha shina lina dega dega ukiona list ya watu ambao wamekuwa targeted unaweza ukadhani ni wajinga wajinga tu kuanzia kipanya, kombo, soka. Kumbe wanakula chini kwa chini
 
Nani anafanya hayo?
 
Kwanini watekaji hawakukemewa wanakemewa walipouwa?
Tusaidiane kutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…