CCM yalaani mauaji ya mjumbe wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao


Wahuni tu hawa MaCCM. Wao ndiyo wako nyuma ya haya yanayoendelea.
 
CCM hii hii au ipo mpya ndo imetoa pole?
 
Crocodile tears (machozi ya mamba anakulilia huku anakutafuna)
 
Wanafique!
 
Wanafique!
Mnawapa pole CHADEMA kwa unafiki mkubwa.

CCM ina mkono wake kwenye haya mauaji yanayoshamiri
 
Wananchi wanaanza kuamini kuwa Wapinzani siyo wabaya kama ilivyosemwa miaka yote kuwa wataleta machafuko nchini ni kinyume chake.CCM n Serikali hili likiachwa liendelee wananchi wataunda umoja wao wa kuiondoa kwa nguvu ni hatari sana kuona ndugu zao wanakufa bila hatia. inauma sana Na hili sasa halina dini,kabila,eneo na hata itikadi. Aliyeuawa ana ndugu Kibao na wengine wanaotekwa hata kama ni Wana chadema wana ndugu ccm je watafurahia hiki kilichompata bw.Kibao,Soka,Kipanya,Chaula nk. Hili suala ni la wananchi wote kwa sasa. It is highly political,Waziri,IGP na Awadh na Kingai waondoke. watasababisha machafuko. Hili kundi la utekaji litafutwe liteketezwe kama ilivyokuwa Rufiji.
 
Mauaji haya kwa viongozi wa Chadema yanafanywa kwa faida ya CCM. Huyo guluguja aache dhihaka.
 
Je ni mtu wa kwanza kutendewa unyama kama huo?
Mwenyekiti alisema ni drama, Spika akasema hakuna hoja ya kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…