Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

bado Bukoba waliosemwa kuwa katerelo wao, mtongo wao na mafuriko wao hata tetemeko wao.
 
kWENYE MATOKEO YA KATA ZILE 22 ILIKUWA UJUMBE KWA NANI?
Hahhhahahha mnajua hivyo vitongoji vilikuwa chini ya chama gani kwa miaka 50???? Ukijua ndo utatofautisha na kata amabazo licha ya kwamba kuna madudu mengi kwenye uwazi wa uchaguzi ila mlikuwa mnazitetea tu but uyui yote ilkuwa ccm 100% so kupata vitongoji from 0 to something ni achievement kwa upinzani na pigo kubwa kwa ccm maana mmezuia mikutano ila myie mnafanya bado kura mmeangushwa
 
Hahahah safi sana, hiyo ndo inaitwa katafunua... Ujumbe kwa dingi wa bashite.

In komba voice "tumewapiga kwenye mitaa cdm mbele kwa mbelee..., 2020 cha mtemakuni mtakiona cdm mbele kwa mbele..."
......................
Chadema kuna mipango thabiti kweli ya kuiondoa CCM madarakani 2020? Sio kwa siasa hizi za propaganda na matukio
 
Shida huleta akili kila mtu ataisoma namba kwa muda wake
 
Vitongoji vilivyofanya uchaguzi ni 58. Unaweza weka matokeo yote?
 
Vitongoji vilivyofanya uchaguzi ni 58. Unaweza weka matokeo yote?
Hata kma vingekuwa 1000 ila lazma ujue uchaguzi uliopita we had 0 kabisa so kupata hizo 13 ni pigo kwa ccm na achievement kwa upinzani the rest mlizoshinda mmetetea so u have nothin to gain but we had nothin to lose
 
Demkrasia ni Tamu pale mambo yanakuwa chanya upande wako.
Hata tukishinda haibadilishi ukweli kuwa Tume sio huru majimbo au kata ukiona mpinzani anashinda ujue nguvu ya umma imetumika ila eti ukipiga kura afu ukaenda kulala nyumbani matokeo yanageuzwa to ccm favor ukiwa unaona hivi hivi haya yalitukuta hata huko kyerwa na kwela kwa naftali
 
Kwa haya matokeo mzee kidevu anaweza kuamrisha miradi ya kimaendeleo na fedha visitishwe mara moja kwenye hivyo vijiji.
Safi sana chadema na hongereni sana tutamtoa tu mkoloni mweusi atake au asitake.
 
Wamebaki wagogo jamani sijui tuwafanyeje Hawa viumbe. Kila mwaka wanatuangusha
 
Hivi Lubavu's Law au Jecha's Law kwenye chaguzi za vitongiji huwa hazitumiki.?
 
Naona wanyamwezi wameamka na kugundua lipumba kijana wao kawasaliti .viva Chadema vivaaaaaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…