Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

16.KIJIJI CHA NZUBUKA CCM 195, CDM 502[emoji818]
Nzubuka hawana shukrani,hivi hawajui kuwa bombadier zinatua Tabora na treni ya umeme itapita hapo??
mambo haya wangefanya watu wa Njombe labda...
Hawa wametisha balaa.!
 
Inawezekana sio kweli mbona ccm wameachwa kwa mbali sana????
Maana kawaida wakipata kura 40 hufanya times 3=140
 
Hahahah safi sana, hiyo ndo inaitwa katafunua... Ujumbe kwa dingi wa bashite.

In komba voice "tumewapiga kwenye mitaa cdm mbele kwa mbelee..., 2020 cha mtemakuni mtakiona cdm mbele kwa mbele..."
......................
Fwantastic, hongera kwa Wananchi wa Tabora kwa kujitambua. Bravo viongozi na Makamanda kwa kazi nzuri.
Cuf, ACT, na vyama vingine vya upinzani visivyo kuwa chumia tumbo be serious tunahitaji ukombozi.
Leo unga kilo shs 2500, lazima fahamu zitaturudia watz.
 
Kwa hali ilivyo sasa CCM inabidi ijipange sana. Asilimia kubwa hata vijijini hawako upande wa CCM.
 
Mungu usiye lala wala kusinzia,Wewe pekeyako ndiye mkombozi wa nchi yetu.Mungu mpe magufuli macho ya rohoni,ajue kwa matokeo haya,tena kwenye ngome ya ccm Tabora,ni kwamba amejenga uaudui miongoni mwa jamii kwa kukumbatia baadhi ya watu na kuwaonea wengine.amedharau nakuwatupa maskini,kielimu,afya,
Chakula,na hata thamani ya utu na heshima !.kiongozi gani akisimama katika hadhira yoyote anamwaga kashfa,vitisho na matusi?
Mungu itoshe tu mfalme huyu,akinywee,kikombe,alichonywea nebkadreza.Amen.
 
  • Thanks
Reactions: bne
Kama viwanda vimejengwa na vijana wamepata ajira kwa nini hivi vitongoji wanachagua upinzani??
 
Mungu usiye lala wala kusinzia,Wewe pekeyako ndiye mkombozi wa nchi yetu.Mungu mpe magufuli macho ya rohoni,ajue kwa matokeo haya,tena kwenye ngome ya ccm Tabora,ni kwamba amejenga uaudui miongoni mwa jamii kwa kukumbatia baadhi ya watu na kuwaonea wengine.amedharau nakuwatupa maskini,kielimu,afya,
Chakula,na hata thamani ya utu na heshima !.kiongozi gani akisimama katika hadhira yoyote anamwaga kashfa,vitisho na matusi?
Mungu itoshe tu mfalme huyu,akinywee,kikombe,alichonywea nebkadreza.Amen.
Mimi nikiangalia agrgate naona CCM 14 CDM 8, ila chadema wamejitahidi sana
 
Hata kma vingekuwa 1000 ila lazma ujue uchaguzi uliopita we had 0 kabisa so kupata hizo 13 ni pigo kwa ccm na achievement kwa upinzani the rest mlizoshinda mmetetea so u have nothin to gain but we had nothin to lose
Mbona hivyo 13 sivioni mimi nimejaribu kuvihesabu out of 22 CDM wamepata viti 8 tu, rudia tena kuhesabu
 
Mungu usiye lala wala kusinzia,Wewe pekeyako ndiye mkombozi wa nchi yetu.Mungu mpe magufuli macho ya rohoni,ajue kwa matokeo haya,tena kwenye ngome ya ccm Tabora,ni kwamba amejenga uaudui miongoni mwa jamii kwa kukumbatia baadhi ya watu na kuwaonea wengine.amedharau nakuwatupa maskini,kielimu,afya,
Chakula,na hata thamani ya utu na heshima !.kiongozi gani akisimama katika hadhira yoyote anamwaga kashfa,vitisho na matusi?
Mungu itoshe tu mfalme huyu,akinywee,kikombe,alichonywea nebkadreza.Amen.
Sauli mbona waniudhi?
 
Mafuriko yalifanya kazi yake, kama hayakufanya mbona mlikataa wasijumlishe matokeo yao? au mnadhani tumesahau? Zile computer za kituo cha sheria na haki za binadamu mlichukua za nini? Au kichwa chako kina kumbukumbu ya 2kb?
Mbona unamuongezea just bit.
 
Watu walio deprived kwa muda mrefu huwa wanatia huruma sana.

Sasa kwa mfano hicho kiuchaguzi wanavyokifurahia utadhani sijui nini tu!
Kama ulisoma sayansi hasa biology kuna kama formula kanaitwa CTOSO..Cell,Tissue,Organ,System kisha Organism.Hata mbuyu ulianza kama mchicha na wewe ulianza kama single cell lakini leo hii ni complete organism.Mtu mwelevu huwa hapuuzi vitu vidogo kwa sababu huwa ndio chanzo cha vilivyo vikubwa ndio maana hata sisiem hawakuacha kushiriki hako kauchaguzi.
 
Back
Top Bottom