Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinzani bado sana TZ yaani uchaguzi wa kitongozi imekuwa habari ya nchi nzima!!!Kazaneni,wanatakiwa wasiambulie hata KURA moja hawa Chama Cha Mauaji,tena msisahahu na kwa yule bibie Mrembo wa Lipumba aka Magdalena Sakaya,anzeni kumpembua mapema akirudi afikie CCM kabisa
Wewe kweli ndiye lumumba wahed yaani watu wapo field alafu unakuja kuleta uongo wako wa kijinga?Kuna upotoshaji kuhusu matokeo ya uchaguz mdogo uyui - Tabora unaoenezwa na vijana wa chadema,
Ukweli ni huu
Wilaya ya Uyui ilikuwa na Vijiji 15 vyenye Uchaguzi na Vitongoji 58,
CCM imeshinda Vijiji 14 kati ya 15
CCM imeshinda Vitongoji 51 Chadema 7
HUU NDIO UKWELI HALISI
Moderator msiunganishe huu uzi maana hamkawii..
WAKATI VIJANA WENZETU UKO KENYA WASOMI WANAJIVUNIA TECHNOLOGIA YA KUGUNDUA NA KUTENGENEZA MPEZA SYSTEMKuna upotoshaji kuhusu matokeo ya uchaguz mdogo uyui - Tabora unaoenezwa na vijana wa chadema,
Ukweli ni huu
Wilaya ya Uyui ilikuwa na Vijiji 15 vyenye Uchaguzi na Vitongoji 58,
CCM imeshinda Vijiji 14 kati ya 15
CCM imeshinda Vitongoji 51 Chadema 7
HUU NDIO UKWELI HALISI
Moderator msiunganishe huu uzi maana hamkawii..
Field uvunguni ufipa au! Msiwage na kiherehere cha maalim seif ya kutangaza mapema kumbe alishachinjiwa baharini na wananchi!Wewe kweli ndiye lumumba wahed yaani watu wapo field alafu unakuja kuleta uongo wako wa kijinga?
Kalagabaho. Hakuna mkenya yeyote aliyegundua Mpesa. Jipange upya na uache kuwashadadia hao wakenya wako.WAKATI VIJANA WENZETU UKO KENYA WASOMI WANAJIVUNIA TECHNOLOGIA YA KUGUNDUA NA KUTENGENEZA MPEZA SYSTEM...
Mbona hukutumia hayo matusi kwenye ule uzi mwengine uliowekwaWewe kweli ndiye lumumba wahed yaani watu wapo field alafu unakuja kuleta uongo wako wa kijinga?
Nyie na sungura kwenye zabibu , no differenceSasa wataiondoaje wakati hakuna tume huru ya uchaguzi? Kabla hujanitolea povu, kwanini CCM hataki tume huru ya uchaguzi?
Mbona mnakazana kuiba kura na teja sonzije ameanza maandalizi mapena kwa ajiri ya kuiba tena na bado tume huru hamtaki yaani mnachagua refa wenyewe.Chadema ni kijichama kichanga sana kuweza kupambana na chama kama ccm.ccm ni level ya akina Republican kule marekani au conservative kule uingereza.
Hujui kama wengi 'wamehama' kiroho?Kwani anahama?? Sasa si ndo maama yake sisiemu bado ina tacticians zaidi ya chadema?
Ukiona hii habari haipo ukurasa wa mbele gazeti la mwananchi ujue CDM wameumia na ukiona uchangiaji umezimika ghafla hapa JF ujue CDM chali cha mendeMliahidi kutoa UPDATES (habari mpya kadri zinavyopatikana) lakini bado tunaona kimya.....
Hii tabia ya kupenda habari za upande mmoja badala ya kuwa GREAT THINKERS sidhani kama inatufaa sana,
Ukiona hii habari haipo ukurasa wa mbele gazeti me
Tupate habari sahihi kisha tuchangie katika usahihi wake na sio kuletewa habari potofu nasi tunazichangia kumbe nasi tunaeneza upotofu.
Tusiwe sehemu mojawapo ya PROPAGANDA MACHINE ya upande fulani