Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hilo la kutokea kwani lazima limtokee Rais?Kwahiyo likitokea la kutokea huyo Nchimbi ndiyo anakuwa Raisi wa Tanzania
Tangu alipoteuliwa tu. Nyumbani kwake gate Kali simu not reachable na gari mpya
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
===
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameridhia kwa kauli moja kumpitisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) kwa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan alimpendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025 baada ya Makamu Wa Rais, Dkt. Philip Mpango kuomba kupumzika.
Soma: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - Dr. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo
Dkt. Nchimbi aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.
Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
😂😂😂😂😂Kwahiyo likitokea la kutokea huyo Nchimbi ndiyo anakuwa Raisi wa Tanzania
JEMBE.

Kampeni zilishaanza japo sio rasmiVipi ratiba ya tume ya uchaguzi kuanza kampeni kama tayari vyama vimejipanga tayari vina wagombea wao wa urais? Maana soon kampeni zinaanza indirect and direct sera zinaanza kumwagwa
Kwahiyo baada ya Magufuli kuaga dunia Tanzania imekuwa nchi ya amani?Na hilo la kutokea kwani lazima limtokee Rais?
Mr Push Up lilimtokea ili nchi ya Tz iendelee kuwa na amani kama agano la Mungu na Tz.
Wapi nilipomtaja Magufuli mkuu?Kwahiyo baada ya Magufuli kuaga dunia Tanzania imekuwa nchi ya amani?
Mbona mambo ya kutekana n kuuana bado yapo?
Ili kukwepa baadhi ya mambo mambo hivi labda !Mambo yanakwenda speed sana.naona kama hata tarehe ya uchaguzi inaweza ikasogezwa nyuma
vipi kuhusu wabunge na madiwani, si waanze tu kujionesha kwa wananchi ili wajulikane mapema ktelekea uchaguzi? Kama rais na makamu wake tayari wanajulikana, huku chini waruhusu wanachama wao watia nia waanze ligi ya kujipendekeza kwa wapiga kuraKampeni zilishaanza japo sio rasmi
Normally the watch of the Lord is tough !Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale
Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma
Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa
Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake
God is watching
Utakuwa ni ufalla wa hali ya juu utoke Uwaziri mkuu urudie ubunge...ujinga mtupuWakati juzi kati alikuwa anaimbisha wapiga Kura wake Majaliwaaaa mi5 tenaaaaaa
Wewe ota tu
Anataka kuharibu rekodi yakeYule hauachi ubinge wa ruangwa
Mambo mengine huenda mnatunga tu. Pro Magufuli mnahangaika sana.Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale
Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma
Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa
Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake
God is watching
Mbona lowassa aliendelea kua mbunge wa monduli mpaka 2015Utakuwa ni ufalla wa hali ya juu utoke Uwaziri mkuu urudie ubunge...ujinga mtupu