Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahaha mbona Mpina inaeleweka hamkubali mwenyekiti? Alihudhuria tu kwasababu bado ni mbunge.
Huyo nchi nzima wanamuelewa, siyo mfuata upepo.
 
Kwahiyo likitokea la kutokea huyo Nchimbi ndiyo anakuwa Raisi wa Tanzania
Na hilo la kutokea kwani lazima limtokee Rais?

Mr Push Up lilimtokea ili nchi ya Tz iendelee kuwa na amani kama agano la Mungu na Tz.
 
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
===

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameridhia kwa kauli moja kumpitisha Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza (Makamu wa Rais) kwa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan alimpendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025 baada ya Makamu Wa Rais, Dkt. Philip Mpango kuomba kupumzika.

Soma: Breaking News: - Uchaguzi 2025 - Dr. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

Dkt. Nchimbi aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.

Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.

Tangu alipoteuliwa tu. Nyumbani kwake gate Kali simu not reachable na gari mpya
 
JEMBE.
JITU LA MISIMAMO.
Jamaa ni kiongozi "material "
Hatuna shaka nae.
Hadi Tundu Lisu anagwaya
 
Na hilo la kutokea kwani lazima limtokee Rais?

Mr Push Up lilimtokea ili nchi ya Tz iendelee kuwa na amani kama agano la Mungu na Tz.
Kwahiyo baada ya Magufuli kuaga dunia Tanzania imekuwa nchi ya amani?
Mbona mambo ya kutekana n kuuana bado yapo?
 
Hiki kikao kimekuwa cha kihuni kabisa na kisichofuata wala kuzingatia haki na Katiba ya CCM yenyewe....

Angalia, walisema jenda ya kikao ilikuwa ni kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCm ndgu Kinana aliyesemekana kwamba ati "Alijiuzulu"?

Sasa Kikwete kupewa microphone na kuanga kugeuza ajenda na kupisha jina la SSH kama mgombea ni jambo yakihuni na linalowanyima candidate wengine fursa kumbea.....Na baaadae ndani kikao hicho hicho SSH (aka Mama) kuteuwa nchimbi kama Mgombea Mwenza papo kwa papo ni kama mambo ya tukio ammbalo lilisha tengenezwa nyuma ya kamera yaani ule unaitwa U "Ze Komedi" tu.

Ukweli ni mambo ya hovyo kweli kweli...Anyway, wacha tuwasuri wasemaji wenye Chama Chao waje tusikie🙂
 
Kampeni zilishaanza japo sio rasmi
vipi kuhusu wabunge na madiwani, si waanze tu kujionesha kwa wananchi ili wajulikane mapema ktelekea uchaguzi? Kama rais na makamu wake tayari wanajulikana, huku chini waruhusu wanachama wao watia nia waanze ligi ya kujipendekeza kwa wapiga kura
 
Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale

Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma

Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa

Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake

God is watching
Normally the watch of the Lord is tough !
 
Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale

Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma

Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa

Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake

God is watching
Mambo mengine huenda mnatunga tu. Pro Magufuli mnahangaika sana.
 
Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom