Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi nimesoma na Andrew Chenge pale Nyegezi Seminari, Mwanza. Wengine ni Mabeyo na Sirro kwa uchache.
 
Ni bora kuliko Somalia na Sudan.
Ukianza kujilinganisha na Somalia na Sudan hilo nalo linaonesha ujinga walioupalilia kwa miaka mingi.

Yani hata nchi unazochagua kujilinganisha nazo zinaonesha point yangu kuwa hao viongozi wako wamekujaza ujinga kwa miaka mingi sana.
 
Miaka yote mipango ya kurithishana madaraka hup hivyo usitupange

1995 tukaambiwa ilichezwa sinema kuwapindua timu lowassa,JK, na ile timu malecela. Nafasi akapata mkapa

2005 tukaambiwa ilichezwa sinema kumpata JK, timu salim ahmed salim ikazidiwa

2015 tukaambiwa ilichezwa sinema kumpata magufuli, timu lowassa, timu membe ikazidiwa

Story zile zile miaka nenda rudi hakuna jipya
 
Mimi nimesoma na Andrew Chenge pale Nyegezi Seminari, Mwanza. Wengine ni Mabeyo na Sirro kwa uchache.
Sasa Chenge alivyotupiga kwenye madili ya vijisenti vya Visiwa vya Jersey napo tuwashukuru Waseminari kwa kumsomesha?
 
Ukianza kujilinganisha na Somalia na Sudan hilo nalo linaonesha ujinga walioupalilia kwa miaka mingi.

Yani hata nchi unazochagua kujilinganisha nazo zinaonesha point yangu kuwa hao viongozi wako wamekujaza ujinga kwa miaka mingi sana.
Tupo bora kuliko Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia, Malawi, Uganda, Kenya na majirani zetu wengine.
 
Tupo bora kuliko Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia, Malawi, Uganda, Kenya na majirani zetu wengine.
Unajilinganisha na mtu wa mwisho darasani, lazima ujione uko vizuri.
 
Hongera Bw. Nchimbi, ikawe heri uwe makamu wa rais
 
Back
Top Bottom