Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukianza kujilinganisha na Somalia na Sudan hilo nalo linaonesha ujinga walioupalilia kwa miaka mingi.Ni bora kuliko Somalia na Sudan.
Sasa Chenge alivyotupiga kwenye madili ya vijisenti vya Visiwa vya Jersey napo tuwashukuru Waseminari kwa kumsomesha?Mimi nimesoma na Andrew Chenge pale Nyegezi Seminari, Mwanza. Wengine ni Mabeyo na Sirro kwa uchache.
We jamaa huna akili.Ni bora kuliko Somalia na Sudan.
Yani nchi yetu ina watu wajinga sana kama huyu mtoa mada.Wametoa mchango mkubwa wa kusababisha nchi yenye maliasili nyingi iwe na masikini wengi miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru.
Mwaka gani mkuu?Nchimbi five na six kasoma Forest Hill ya Morogoro nakumbuka
Tupo bora kuliko Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia, Malawi, Uganda, Kenya na majirani zetu wengine.Ukianza kujilinganisha na Somalia na Sudan hilo nalo linaonesha ujinga walioupalilia kwa miaka mingi.
Yani hata nchi unazochagua kujilinganisha nazo zinaonesha point yangu kuwa hao viongozi wako wamekujaza ujinga kwa miaka mingi sana.
Leta hoja.We jamaa huna akili.
Imajini .. Rais NchimbiKwahiyo likitokea la kutokea huyo Nchimbi ndiyo anakuwa Raisi wa Tanzania
Unajilinganisha na mtu wa mwisho darasani, lazima ujione uko vizuri.Tupo bora kuliko Burundi, Msumbiji, Congo, Zambia, Malawi, Uganda, Kenya na majirani zetu wengine.
Hivi mliwahi kuthibitisha hizi tuhuma?Sasa Chenge alivyotupiga kwenye madili ya vijisenti vya Visiwa vya Jersey napo tuwashukuru Waseminari kwa kumsomesha?
Kwani anaenda kuongoza kanisa?Sikua nafahamu hili, So Nchimbi ni mpango maalumu wa Kanisa Katoliki au Ni Coincidence????
Alisema mwenyewe hivyo ni vijisenti tu, unataka uthibitisho gani wakati mwenyewe kakubali shutuma ila kasema hivyo ni vijisenti tu?Hivi mliwahi kuthibitisha hizi tuhuma?
Huko ni kamanda anga MboweHahaha sasa hamtaki mambo ya ccm wakati nyie ni chadema?
Kila chama kina mambo yake, subirini braking news za chadema nanyi mtafurahi tu.