Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Ni kama mamba na maji. Nguvu ya Membe iko ndani Ccm, nje ya Ccm Membe ni kama Mamba na nchi kavu.Akionyesha Cheche tu mashamba yanaanza kunyang'anywa kama Mr.zero sumaye
Akihangaika tu, uhujumu uchumi unamuhusu.Ni kama mamba na maji. Nguvu ya Membe iko ndani Ccm, nje ya Ccm Membe ni kama Mamba na nchi kavu.
Kwangu hili ni pigo la kisiasa kwa Membe
Hahahaaa I bet its a lie.Jiwe anachekesha kweli, hajui kuwa Membe team walikuwa wanataka afanye hivyohivyo. Sasa Moto uliowashwa kwa kumfukuza Membe mtaouona muda si mrefu.
CCM gani...!? Ya Yohana au original?Nadhani huko ni kurahisisha mambo... labda hujakielewa CCM. Angalia vizuri...
Nadhani huko ni kurahisisha mambo... labda hujakielewa CCM. Angalia vizuri...
Jichekeshe tu! Kwa nini anaogopa ushindani kama anapendwa. Kwa nini amfukuze Benard Membe kama yeye anakubalika kuliko Membe?Hahahah eti wananch wamemchoka hahahahahahahaah hahahahahahahaah Hahahah wananch tunavyo wasingizia mungu anatuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani, haya kazi kwenu tena kulikakanyaga bomu.
Hii movie hai tofautiani na ya 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lini ulisikia amelalamika mkuu? Yeye alishasema angetaka angewashtaki kamati kuu ila anaacha yapite. Chama kikaamua kuchukua hatua. Halafu mambo ya CCM waachie wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma nimerudia , natafakari Ni kwamba haujatumia dawa Leo au..Hapo CCM wamekosea kweli, hao watu walitakiwa wawekwe ndani (mahabusu) kwa kipindi kisichojulikana mpaka hapo rais atakapoapishwa, haiwezekani watu wanatukana mkuu wa nchi eti adhabu ni kuwafukuza chama.π π π π
What will be outcome?Ni mchezo kama game zingine tu na huu wa safari ni rahis kabisa.