CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ile Range Rover yake kali itataifishwa nayo ili ijenge angalau dispensary 5 ili udhalilishaji dhidi yake uwe angalau 50%?? Baada ya hapo Mzee abaki kwenye twitter akimwaga tindikali lakini bado tunajua ana off shore bank accounts zenye millions of dollars.
 
Membe wamemmaliza kilichobaki ni kesi ya uhujumu uchumi ili aozee ndani kama funzo kwa yeye atakaejaribu kuonja sumu
 
Lengo la haya yote ni kuwa Magufuli hapati upinzani mkali toka ndani na nje ya chama chake kwenye uchaguzi wa 2020, basi moja kati ya haya ni kweli;

1. Magufuli ni mwoga wa chaguzi, anajua hawezi kushindana kilalali akashinda,

2. Chaguzi zote alizoshiriki tangu akiwa mbunge hadi urais, huwa ama ananunua au kuondosha wapinzani wake makini, na kwa hiyo hajawahi kushinda uchaguzi wowote kihalali, na hana uhakika kama akishiriki kihalali ktk uchaguzi wowote ataweza kushinda.
Hahahah eti wananch wamemchoka hahahahahahahaah hahahahahahahaah Hahahah wananch tunavyo wasingizia mungu anatuona

Sent using Jamii Forums mobile app
Jichekeshe tu! Kwa nini anaogopa ushindani kama anapendwa. Kwa nini amfukuze Benard Membe kama yeye anakubalika kuliko Membe?
 
Back
Top Bottom