OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Lowasa na Sumaye wametosha kutupatia aibu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM chama imara sana aisee. Hakiyumbishwi na mtu hata mmoja, CCM kwanza, vingine ndio vitafuata, ukitaka kuiyumbisha CCM utapotea katika siasa za Tanzania.
Naona Mkuu awamu hii tumeamua tufungue mioyo ili tuseme yaliyo ndani ya mioyo yetu.Lowasa na Sumaye wametosha kutupatia aibu kubwa
Tena agombee urais ili amtoe Jiwe maana huyu kachero mzoefu hagusiki kabisa.Mbona mashinji katoka Chadema kahamia CCM kwahiyo huo nao tuite mtego ? Na wengine wengi mpaka vyeo mmewapa kwenye siasa kawaida sana hiyo. Kama akitaka kuhamia upinzani wala sioni tatizo wamkubalie tuu.
MAAMUZI YA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, hayakulenga uwanachama wa mtu bali yalilenga mwenendo na tabia ya mwanachama. Yalilenga mapungu ya mwnachama. Chama kina kanuni katika misingi yake na mwanachama hatakiwi kuzivuja. Ukivunja tu, unasukumwa nje bila kujali hata kama ulishiriki kutunga hizo kanuni.....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa
.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani si nilisikia sheria mpya ya vyama vya siasa ni kuwa kama haujafikisha mwaka mmoja kwenye chama cha siasa hauna nguvu ya kugombea au ilikuwa sio ivyo tena
Sent using komputa mpakato
Atakaeathirika ni chademaHaijalishi Membe ataenda chama kipi cha upinzani, athari kwa CCM ni negligible!
Ila akihamia ACT upepo wa siasa za upinzani nchini lazima uathirike!
3 bila kama kawa membe haendi upinzani na ccm anapita kwa kishindo 2020
Kama anakidhi vigezo apewe tuu.mbona lowassa alipewa akashinda 2015?
Nafsini mwangu nahisi mbinu ni ileile inatumika kwa mara nyingine 🤣🤣🤣Usishangae huo ukawa mchongo kama enzi ya Lowassa
Huu unaweza kuwa mtego kwa Chadema ili wamchukue halafu uchaguzi ukiisha anarudi ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Mashinji pekee, bali pia aliyekuwa mgombea urais wao na kupata asilimia nyingi kahamia CCMMbona mashinji katoka Chadema kahamia CCM kwahiyo huo nao tuite mtego ? Na wengine wengi mpaka vyeo mmewapa kwenye siasa kawaida sana hiyo. Kama akitaka kuhamia upinzani wala sioni tatizo wamkubalie tuu.