Nan kakwambia membe kaondoka ccm wait and see , jiulize bushiru hakuwepo kutanganza , unajua process za kumfukuza chama ccm member wewe...Ole Ole ole CHADEMA MSIROGWE KUMKUMBATIA MEMBE. HASA KWA NAFASI NYETI.SOOOOOON AKIKOSA CHADEMA ATAIBUKIA WAZALENDO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama wote wamefukuzwa!
Point , nakutafuta bossJiwe anachekesha kweli, hajui kuwa Membe team walikuwa wanataka afanye hivyohivyo. Sasa Moto uliowashwa kwa kumfukuza Membe mtaouona muda si mrefu.
#IMEAZIMIANan kakwambia membe kaondoka ccm wait and see , jiulize bushiru hakuwepo kutanganza , unajua process za kumfukuza chama ccm member wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kosa kuchukua fomu ya uraisi? Hicho chama chenu mnakiendeshaje? Mwambieni mwenyekiti asiogope upinzani ndani ya chama.yeye anadhani kila mtu anamkubali na ubabe wake?
TUWE TUNAAMBIWA UKWELI, AKINA NAPE WALIENDA KUMWOMBA RADHI MZEE JIWE. HIVYO TUAMBIWE JE, HAWA WATU WANAKIKOSEA CHAMA AU WANAMKOSEA JIWE? KAMA WANAKIKOSEA CHAMA INAKUWAJE WAKAMWOMBE RADHI MTU MMOJA NDANI YA CHAMA?
MIMI NAFIKIRI TUAMBIWE TU UKWELI KWAMBA HAWA NDUGU ZETU AKINA MEMBE WAMEHITILAFIANA NA JIWE. MSITUINGIZE SISI WANACHAMA WOTE WA CHAMA CHETU BALI NONGWA NI JIWE!!!
Vyama vya upinzani kaeni mbali na mtu huyu, hakuna ugomvi kati yao ila mipango tu ya kuuteketeza upinzani Nchini, TUSIMUAMINI. Nyoka tofauti sumu ileile kama ya mamvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh! Membe anahitaji ulinzi wa ziada au astaafu kabisa siasa
Liability na assets zinautofauti mkubwa sana,sawa alileta ruzuku kubwa but mamluki wa kutosha saivi wameanza kukigawa chama pasu kwa pasua ...liability is liability tu...membe siyo asset kam lissu au hecheKama ni mtego kwa chadema kama ilivyokuwa kwa lowasa na nikifikiria ufanis mkubwa waliopata chadema kwa ujio wa lowasa na wing wa wabunge waliopatikana na kuomgeza ruzuku bas huu mtego una manufaa sana kwa chadema yenyew. Tukubaliane tu kwa ihalisia ccm huwez kuitoa madarakan had sheria kadhaa zibadilishwe na tuwe na vyama halis vya upinzan. Tuko bado kwenye siasa ajira. Hatuna mbadala wa ccm. kinachobak ni chama kimoja kimoja kudaka wing wa kura si kuongoza serkali
Wewe hujaona effect ya kuondoka kwa genge la lowasa watu waliokuwa wanaingia hadi kwenye kamati kuu ya chadema kupanga mbinu za ushindiKwani chadema imeathirika nini kwa kuondokewa na akina Lowasa? Sumaye ? Na wengine? Cha msingi hapo ni kuangalia NET EFFECT.... Impact assessment ifanyike then maamuzi yanaweza kufanyika . Cha msingi chadema iangalie salio kama lipo ama halipo kabla ya kuja akina Lowasa na kuondoka kwao... Je salio linasoma ngapi ?
Uamuzi wa leo umetudhihirishia kuwa CHADEMA wanamifumo bora zaidi ya demokrasia na utoaji haki katika katiba yao kuliko ccm
Sent using Jamii Forums mobile app