CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Screenshot_20200228-193848.png
 
wakulaumiwaa.mmojaa tu wala sihaoo.mnaowataja yukozake kijijini anakulaa bayaa
 
Nan kakwambia membe kaondoka ccm wait and see , jiulize bushiru hakuwepo kutanganza , unajua process za kumfukuza chama ccm member wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
#IMEAZIMIA
LILE NENOOO LITAWAPAA HAMAKO WENGI KWA YATAKAYOENDELEEAA NA MH PP AMERUDIA MARA MBILI IMEAZIMI...

BUNGE LIMEAZIMIA....WAJANJA SANAA
 
Uamuzi wa leo umetudhihirishia kuwa CHADEMA wanamifumo bora zaidi ya demokrasia na utoaji haki katika katiba yao kuliko ccm
Hivi ni kosa kuchukua fomu ya uraisi? Hicho chama chenu mnakiendeshaje? Mwambieni mwenyekiti asiogope upinzani ndani ya chama.yeye anadhani kila mtu anamkubali na ubabe wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM chama imara sana aisee. Hakiyumbishwi na mtu hata mmoja, CCM kwanza, vingine ndio vitafuata, ukitaka kuiyumbisha CCM utapotea katika siasa za Tanzania.
 
Naona akili zimeshaanza kuwarudieni
TUWE TUNAAMBIWA UKWELI, AKINA NAPE WALIENDA KUMWOMBA RADHI MZEE JIWE. HIVYO TUAMBIWE JE, HAWA WATU WANAKIKOSEA CHAMA AU WANAMKOSEA JIWE? KAMA WANAKIKOSEA CHAMA INAKUWAJE WAKAMWOMBE RADHI MTU MMOJA NDANI YA CHAMA?

MIMI NAFIKIRI TUAMBIWE TU UKWELI KWAMBA HAWA NDUGU ZETU AKINA MEMBE WAMEHITILAFIANA NA JIWE. MSITUINGIZE SISI WANACHAMA WOTE WA CHAMA CHETU BALI NONGWA NI JIWE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hiyo sumu tunaiyona sisi tu wapinzani? Mbona CCM wanachukua wabunge na madiwani wa CCM wao hawaogopi sumu? Membe ni mtaji wa kisiasa kwa wapinzani wasimwache.
Vyama vya upinzani kaeni mbali na mtu huyu, hakuna ugomvi kati yao ila mipango tu ya kuuteketeza upinzani Nchini, TUSIMUAMINI. Nyoka tofauti sumu ileile kama ya mamvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah! watajua wenyewe bhana, mie midamu nikipata tonge langu la ugali nikishiba namshukuru mtoa pumzi bila malipo.. hayo mabifu yao wasituletee tu huku mtaani wakasababisha tulale 'kidako mkingise'
 
Kama ni mtego kwa chadema kama ilivyokuwa kwa lowasa na nikifikiria ufanis mkubwa waliopata chadema kwa ujio wa lowasa na wing wa wabunge waliopatikana na kuomgeza ruzuku bas huu mtego una manufaa sana kwa chadema yenyew. Tukubaliane tu kwa ihalisia ccm huwez kuitoa madarakan had sheria kadhaa zibadilishwe na tuwe na vyama halis vya upinzan. Tuko bado kwenye siasa ajira. Hatuna mbadala wa ccm. kinachobak ni chama kimoja kimoja kudaka wing wa kura si kuongoza serkali
Liability na assets zinautofauti mkubwa sana,sawa alileta ruzuku kubwa but mamluki wa kutosha saivi wameanza kukigawa chama pasu kwa pasua ...liability is liability tu...membe siyo asset kam lissu au heche

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani chadema imeathirika nini kwa kuondokewa na akina Lowasa? Sumaye ? Na wengine? Cha msingi hapo ni kuangalia NET EFFECT.... Impact assessment ifanyike then maamuzi yanaweza kufanyika . Cha msingi chadema iangalie salio kama lipo ama halipo kabla ya kuja akina Lowasa na kuondoka kwao... Je salio linasoma ngapi ?
Wewe hujaona effect ya kuondoka kwa genge la lowasa watu waliokuwa wanaingia hadi kwenye kamati kuu ya chadema kupanga mbinu za ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe's punch-back statement is not ready, he is asking us to wait a tad.

He didn't see this coming in a million years, a "veteran spymaster" pathetically caught flatfooted again...

He is the loneliest man on earth today, nobody wants to come within a mile of him nor talk by phone for fear of being eavesdropped on by security organs...

With establishment opposition in tatters, his better bet is to start his own party, but he knows he is starting behind the eight ball of the cruelest crackdown on dissent in decades.
 
Back
Top Bottom