Kinana tofauti na Makamba ambaye anafanya kwasababu ya mwanaye kakataa kuomba msamaha. Membe naye amekataa kuomba msamaha.
Swali ambalo waliuliza na kukosa majibu ni shahidi aliyerekodi aje na rekodi nzima? Kisheria usalama wa Taifa hautakiwi ku record watu hasa kwenye mazungumzo binafsi. Yaani ukiongea hata na mke wako ukamtukama au kusema Raisi ni mshamba unaweza kufukuzwa chama.
Hawa wanaosema ushahidi je ni ushahidi gani ambao wanao je kama mtu aliye rekodi amekata kipisi akaunganisha? Au akaacha maneno mengine maksudi. Hawa wazee wanajali historia zao tofauti na Makama hawana maslahi kwa lolote kama wastaafu.