CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Si mlikuwa mnasema anaogopwa?

Tena mapema akusubiriwa OCTOBER ili kama ana ubavu wa kupimana na Magufuli kwenye uchaguzi ajiandae mapema.

Camillius mwepesi kama karatasi alikuwa OVERRATED tu.

unajua ulichokiandika?
meko anachukiwa sana mtaani, wafanyakazi wa serikalini hawampendi, jumlisha na wale ma elfu aliowatumbua akawaita hewa.

nakwambia ukimsimamisha meko na pole pole uchaguzi ujao ,pole pole anaingia ikulu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Boss Roving Journalist Mbona Video ya Tamko inasema ... Kwa Kauli moja wameazimia ... Afukuzwe na Sio Amefukuzwa??? Au ni Mimi tu sijaelewa???!!!

Na Kama Ni Afukuzwe, Nani mwenye Last say kufukuzwa kwake???!! Ni Wanachama??? Mwenyekiti???!!!

Kweli Chama kina wenyewe.​
Kuna tofauti Kati ya Afukuzwe na Amefukuzwa.​
 
Atasamehewa kama walivyosamehewa wale wengine, na kama ana mambo yake ya ajabu ajabu pembeni ni vyema akae kimya kama mwaka mmoja "aonekane kabadilika tabia" .

Hiyo ni kete kubwa sana wanayoitumia CCM kusamehe waliokuwa wanachama wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Dl3gc4RXsAYYhl_.jpeg


Jr[emoji769]
 
Kinana tofauti na Makamba ambaye anafanya kwasababu ya mwanaye kakataa kuomba msamaha. Membe naye amekataa kuomba msamaha.

Swali ambalo waliuliza na kukosa majibu ni shahidi aliyerekodi aje na rekodi nzima? Kisheria usalama wa Taifa hautakiwi ku record watu hasa kwenye mazungumzo binafsi. Yaani ukiongea hata na mke wako ukamtukama au kusema Raisi ni mshamba unaweza kufukuzwa chama.

Hawa wanaosema ushahidi je ni ushahidi gani ambao wanao je kama mtu aliye rekodi amekata kipisi akaunganisha? Au akaacha maneno mengine maksudi. Hawa wazee wanajali historia zao tofauti na Makama hawana maslahi kwa lolote kama wastaafu.
 
kwanza nianze kutoa pongezi kwa kamati kuu ya ccm kwa hatua walizo chukua japo mm sio kada wa ccm na sijawai kuwaza hata kuwa na kadi yao,sio tu kadi ya uanachama yani mimi hata Gazeti la uhuru hata liwe na habar gani slinunui wala hata redio uhuru sisikilizi siku hizi hata chanely Teni siangalii kamwe.

pia nimpe pole kachero mbembezi kwa kuukuzwa uanachama ccm,nijuavyo miie Bernad camilius Membe bado ni miongonii mwa makachero wazuri wa taifa ili.

kama kuna mtu mwenye kujua kama kastaaafu aseme hapa.

Niwasiii chadema na Act wazalendo muwe makini na huyu mtu atawavuruga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom