Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
MaCV Marefu ya kuokoteza mengine anayapata for "collective responsibility" sio ya moja kwa moja kana kwamba ni yeye mwenyewe! Acha aendee tunao vijana wengi wazalendo na waaminifu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
`ahahahahha wanaccm wanamtaka Membe ila mwenyekiti ndo hamtaki sasa tulia tuone hapo mbele ya safariUmechemshaaa CCM sioo taasiisi ama.n"goo kama chademaa kawwambiee kabisaa
Wenye chama wakimtaka wanambeba tu.CHADEMA MSITHUBUTU KUMCHUKUA WALA KUMPOKEA HUYU MTU.JIFUNZENI KUTOKA YA NYUMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hujaona sasa utaelewaje? Omba uoneshweSionagi chochote Cha maana kwa Hawa watu mpaka mumuite Jasusi mbobezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu anagonga mpakaa 2025 tuliza midadii wewee anaechagua mgombea sioo wananchii tuliaa`ahahahahha wanaccm wanamtaka Membe ila mwenyekiti ndo hamtaki sasa tulia tuone hapo mbele ya safari
Hebu kwa kutumia ilimu yako Tabiri hatma ya Kisiasa ya Mhe.Membe!Kinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Chadema sidhani kama wanaweza kurudia makosa ya 2015. Mtu mwenyewe hana mvuto kabisa kwenye siasa.
Unabishanaaa na wasiojua hatamakaoo makuuya chad yakowapi ngoja nisalimie vicoba kwanzaWenye chama wakimtaka wanambeba tu.
Alafu siasa ilivyo ya kingese na wanasiasa walivyo wanafiki kinana na makamba( mzee)wataanza kuisifia ccm na rais alafu hao hao wataanza kumponda membe.Kinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]