CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

MaCV Marefu ya kuokoteza mengine anayapata for "collective responsibility" sio ya moja kwa moja kana kwamba ni yeye mwenyewe! Acha aendee tunao vijana wengi wazalendo na waaminifu!
 
February 16, 2014
Dodoma, Tanzania

Membe akiongea baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM mwezi February 2014

Karipio la kuanza kampeni ya kuomba nafasi ya kugombea Urais mwaka 2015 kabla ya wakati muafaka waliopanga CCM kwa Bernard Membe. Hapa Ndg. Membe alikuwa anaongea na waandishi wa habari juu ya maamuzi ya Halmashauri Kuu (NEC)ya CCM

 
Back
Top Bottom