Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu tayari ni mgombea Urais 2020 kwa tiketi ya UKAWAKweli CCM ina wenyewe. Karibu upande wa pili Mh MEMBE
Lawama ni za bure kwa Mzee wetu, yeye ni mtii, aliwatii wazee tu, laiti angeachwa afanye kwa utashi na ujuzi wake asingefanya hivi.Prof. Mwandosya alisema, JK alikuwa na majina mfukoni
Mtajipigia wenyewe kura...hapa kuna mtego tu !Sio tutest tena zali?
Wangeanzisha kampuni sio vyama
Vipo vyama vinamilikiwa na watu Ila sio CCM
CCM Wamiliki wake wanabadilika kila wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kwa hisia ya mlango usio sahihi. CCM ingevurugika 2015 pale ilipoondokewa na viongozi wenye nguvu kIsiasa na chama kilikuwa taabani. Kwa sasa chama kina nguvu sana kisiasa.Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae. Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM )
Yeah kwahilo sawa,maana ana exposure kubwa nje ya Tz kuliko hata Rais......Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
Ile sinema leo imefika kikomo na pengine tungoje mwendelezo
Ndugu yetu Kamilius Membe kafukuzwa chama cha mapinduzi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Brilliant summaryKinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupo wengi mkuuuAisee huwezi hata amini ni kama vile vita yangu na Utumishi na ajira zao.
Maamuzi ya Magufuli yaheshimiwe