CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Kitakacho mtokea membe ni kile kile cha lowasa na kingine huyo membe hana mzigo wa kutosha na wafuasi wake watamdanganya kama lowasa kuwa ingia upinzani tutukuja kukuunga mkono
tayari upande wa pili wanapiga hesabu ya mgombea wa urais maana hawana
 
Hivi hao wanaowapokea na kuwapa Ugombea URAIS Hawakomi na hizi drama za Washindani wao. Anyway mpeni huyo tena, atarud kundini 2024.
 
Back
Top Bottom