Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepewa adhabu ya kalipio kali....Wamesamehewaaaaaa..... Ukisikia ccm ina wenyewe ndio hao sasa
Jr[emoji769]
Hawezi kuongea Amini hivyo ndio basi tena akalee wajukuuBenard Membe amekiri kupokea taarifa za kufukuzwa kwake CCM na ametoa ujumbe wa Twitter kuwa ataongea na waandishi wa habari hivi punde.
Aidha anakiri kupigiwa simu nyingi kutokana na tukio hilo. Stay tuned
View attachment 1371517
Wanachokifanya CCM ya Magu ni kilekile kilichomtoa madarakani Mugabe baada ya kumfukuza raisi aliyepo ikulu ZimbabweNaonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae. Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM )
Hivi ndugu mwenyekiti yeye ni mamba au ni samaki?Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
CCM ina utajiri wa Human Resources.Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Anzisha hayo machafuko sasa, unangoja nini?...Namna pekee ya ccm kusambaratika ni kutokea machafuko ili tujipange upya.
kwa sheria za sasa hawez kugombea.... lbda kma wataibadili hiitayari upande wa pili wanapiga hesabu ya mgombea wa urais maana hawana
Unamuuliza nani?Vipi mmeandaa matusi ya kumtukana Membe?
Huoni mzuka kwa sababu ya wivu wa Meko kuwapiga pin wapinzani wake kwakutumia mkono wadola plccm,sasa subiri kipenga kipulizwe uone mzuka ulivyo mwingi,kwanza mitaani watu walivyomiss amshaamsha ya wapinzani ungejuaMembe na Lowassa nani alikuwa na moto? WaTz wamechoka sana,ule mzuka wa 2015 haitakuwepo tena maana watu wengi hawana mpango wa kupiga kura au kuhangaika na wanasiasa kutokana na hamahama ya wanasiasa,wote wanaonekana walewale tu
Akirudi kundini 2024 ataukwaa uraisi manake Jiwe atakuwa hana chake!Hivi hao wanaowapokea na kuwapa Ugombea URAIS Hawakomi na hizi drama za Washindani wao. Anyway mpeni huyo tena, atarud kundini 2024.
Afu CHADEMA wao hawashtuki, ndo ndio kwanza watamlipia form ya urais.
Hao unosema kuwa ni wasindikizaji, hawakuwahi kusikika sauti zao kwenye yale maongezi yaliyorekodiwa, ambayo ndiyo yalikuwa kiini cha kesi zao?Hapa Imedhihirika wazi kwamba aliyekuwa anawindwa ni huyu bwana, wengine walikuwa wasindikizaji tu. Jiwe bhana[emoji23]