CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Membe anajiona yeye ni kubwa kuliko kitu chochote hapa Tanzania 😎
 
Kitakachofuata kama sio kutumiwa wasiojulikana basi atashtakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana;utakatishaji pesa na uhujumu uchumi!
 
Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae. Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM )
Wanachokifanya CCM ya Magu ni kilekile kilichomtoa madarakani Mugabe baada ya kumfukuza raisi aliyepo ikulu Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasajiliwa ligi ya China muda si mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akisha enda uko baada ya wiki 3tu zinatosha kumsafisha mana Kuna watu Wana ushawish na porojo balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bado hajamaliza Assignment Chadema, waliomaliza washarudi zao kundini.
 
Membe na Lowassa nani alikuwa na moto? WaTz wamechoka sana,ule mzuka wa 2015 haitakuwepo tena maana watu wengi hawana mpango wa kupiga kura au kuhangaika na wanasiasa kutokana na hamahama ya wanasiasa,wote wanaonekana walewale tu
Huoni mzuka kwa sababu ya wivu wa Meko kuwapiga pin wapinzani wake kwakutumia mkono wadola plccm,sasa subiri kipenga kipulizwe uone mzuka ulivyo mwingi,kwanza mitaani watu walivyomiss amshaamsha ya wapinzani ungejua
 
Hivi hao wanaowapokea na kuwapa Ugombea URAIS Hawakomi na hizi drama za Washindani wao. Anyway mpeni huyo tena, atarud kundini 2024.
Akirudi kundini 2024 ataukwaa uraisi manake Jiwe atakuwa hana chake!
 
September 21, 2011

Tanzanian's dual citizenship

Shaka Ssali hosts Tanzanian foreign minister Bernard Membe and among many issues the minister clarified the governm stand on dual citizenship for Tanzanian nationals



Source: VOA Africa
 
Hapa Imedhihirika wazi kwamba aliyekuwa anawindwa ni huyu bwana, wengine walikuwa wasindikizaji tu. Jiwe bhana[emoji23]
Hao unosema kuwa ni wasindikizaji, hawakuwahi kusikika sauti zao kwenye yale maongezi yaliyorekodiwa, ambayo ndiyo yalikuwa kiini cha kesi zao?
 
Back
Top Bottom