Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini jina lao sibado nihilohilo?hawa wote wanafukuzwa ccm na sababu ni kwamba ccm kwa sasa inaongozwa na wasio wanaccm..! ccm imebaki jina tu na rangi za njano na kijani,,watu waliopo ni wapinzani pure..,!
Tulia
Kati ya wanasiasa 'failure' huyu naye ni kati yao. Sivutiwi kabisa na siasa zake licha ya wafuasi wake kumpa sifa ya kachero mbobezi.
Ameinuliwa sana. Tusubiri matokeo.Ile sinema leo imefika kikomo na pengine tungoje mwendelezo
Ndugu yetu Kamilius Membe kafukuzwa chama cha mapinduzi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umesaha kukitaja chama cha msajili wa vyama pamoja na mahakam ( cuf)Wameshaanza michezo yao usishangae membe akahamia chama pinzani Act wazalendo au Chadema..... Yakaja kutokea kama yake ya lowasa ccm inambinu kali sana inapofikia kipindi cha uchaguzi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizitaki mbichi hizi. Ni kawaida yenu LB7 unakumbuka kipindi Lowize amehamia CDM mlimkashfu sana dingi wa watu?Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
Wangefukuzwa tu wote,maana Hawa walijiona wao ndio wao,sie wengine malofa.Ipo Siku Bashiru na Polepole akina Makonda nao wataisoma namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na nguvu ya huyo mtia nia!Sasa ikitokea mwingine akainesha nia ya kuchukua fomu na yeye atafukuzwa
Kavuliwa gamba, kipindi kile walipoacha kuwavua gamba akina Lowasa, walilalamika, samari hii tena watalalamika.Halafu utasikia makada wanasema CDM/ACT hakuna Demokrasia, Leo hii Membe mnamfukuza uanachama huku hamuwaambii wanachama wenu makosa ya Membe A-Z zaidi ya kusema general eti kukosa maadili.
CCM waambieni wanachama wenu makosa ya mbobezi Membe A-Z na sio kufanya mambo gizani.
Hapo mimi mgeni(huu uwanaharakati na uwanasiasa wangu wa kuungaunga kwa matukio ndo unanipa changamoto) hebu nijuze kwanini hawezi kugombea?
kamati inafanya maazimio kwa simu not otherwiseMagufuli hakuwa kwenye kamati ya nidhamu jamani jitambueni. Ni kamati siyo mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Magufuli ndo H20 mwenyewe kwa sasa. CCM ni Magufuli kwa sasa. Membe alijua yataisha salama ndo maana hakusema yaliyojiri siku ya mahojiano.