CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

hawa wote wanafukuzwa ccm na sababu ni kwamba ccm kwa sasa inaongozwa na wasio wanaccm..! ccm imebaki jina tu na rangi za njano na kijani,,watu waliopo ni wapinzani pure..,!
Lakini jina lao sibado nihilohilo?
 
Leo hii ukimuuliza mwanachama yeyote wa CCM kwanini Membe kafukuzwa hana jibu. Magufuli kamfukuza kwa chuki binafsi kwa kuwa membe ni mpinzani wake ndani ya chama. Wana CCM kuweni makini sana magufuli kaiweka CCM mfukoni mwake.
 
Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
Sizitaki mbichi hizi. Ni kawaida yenu LB7 unakumbuka kipindi Lowize amehamia CDM mlimkashfu sana dingi wa watu?

Nyie nyie mkampokea kwa tarumbeta na vifijo aliporudi. Vipi kuhusu Sumaye?

Unafki mbaya sana.
 
Chadema Ni kuwa makini Sasa.......huyu inaelekea ametemwa strategically ili achukuliwe na upinzani iwe Kama lowassa na Sumaye....

Rejea kikao cha Magufuli na viongozi wastaafu pale Sumaye alisema anashangaa anafuatiliwa Sana na kutukanwa na wanaccm ilihali yeye ametumwa na chama upinzani nikasema heeeee....

Membe Kama anapenda siasa aanzishe chama chake.
 
Halafu utasikia makada wanasema CDM/ACT hakuna Demokrasia, Leo hii Membe mnamfukuza uanachama huku hamuwaambii wanachama wenu makosa ya Membe A-Z zaidi ya kusema general eti kukosa maadili.

CCM waambieni wanachama wenu makosa ya mbobezi Membe A-Z na sio kufanya mambo gizani.
Kavuliwa gamba, kipindi kile walipoacha kuwavua gamba akina Lowasa, walilalamika, samari hii tena watalalamika.
 
Kumbe ukiwa CCM mwenyekiti ni mfalme. Hii kali....... Hii sio nzuri kwa vizazi vijavyo. Nchi hii inatengeneza mabomu ya ajabu sana. Kwenye chama, nje ya chama. Watu ni miungu abudiwa. Looo......
 
Habari zinazoenezwa kila mahali ni kuwa nchi imepata maendeleo makubwa kwa miaka hii minne. Mtu tunayeambiwa ameyaleta haya yote anamwogopa nini mtu ambaye katika miaka hiyo minne alikuwa tu nyumbani kwake hajaleta maendeleo yoyote? Hivi hawa wawili wanaweza kushindanishwa uzani mmoja? Sasa hofu ya nini mbona mimi sielewi?
Au labda tunayoambiwa ni mafanikio sio kweli?
 
Hape sasa Membe atakuwa free kuchagua anagombea urais kwa kupitia chama gani kati ya vile ACT au Chadema
 
Back
Top Bottom