Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa CCM inaabudu MTU, tena jpm..huo ndo ukweli.CCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Mashinji karudi CCMMbona mashinji katoka Chadema kahamia CCM kwahiyo huo nao tuite mtego ? Na wengine wengi mpaka vyeo mmewapa kwenye siasa kawaida sana hiyo. Kama akitaka kuhamia upinzani wala sioni tatizo wamkubalie tuu.
Mwanaharakati huru katangaza anenda zake kupumzika, huenda alijua kazi yake tayari imekamilika ilikuwa bado kujulishwa umma tu.
Mashinji njaa ndo imempeleka CCM halafu hana influence yoyote alipokwenda wala alipotokaMbona mashinji katoka Chadema kahamia CCM kwahiyo huo nao tuite mtego ? Na wengine wengi mpaka vyeo mmewapa kwenye siasa kawaida sana hiyo. Kama akitaka kuhamia upinzani wala sioni tatizo wamkubalie tuu.
Mbona mashinji katoka Chadema kahamia CCM kwahiyo huo nao tuite mtego ? Na wengine wengi mpaka vyeo mmewapa kwenye siasa kawaida sana hiyo. Kama akitaka kuhamia upinzani wala sioni tatizo wamkubalie tuu.
Watu wainagani mkuu??lazima uwena loyal hard fans wako la sivyo utapotea haraka kumbuka upinzani hamna vyeo wala bashasha kam chama tawala!!so kuvumilia huku siyo mchezoUpo sahihi na mtaji wa chama cha siasa ni watu
In God we Trust
Walishaumwa na nyokaWapinzani, haya kazi kwenu tena kulikakanyaga bomu.
Hii movie hai tofautiani na ya 2015.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya sana CCM ya Magufuli hakuna mtu mwenye umaarufu; wote wanategema umaarufu wa Chama. Anayeondoka ataondoka yeye na familia yake na pengine hata familia yake wanaweza wamkatalieLeo imetoka taarifa ambayo imewashtua watu wengi ya kufukuzwa kwa mwanachama nguli wa ccm mh bernard camilius member kutoka kwenye chama chake cha ccm akituhumiwa kwa makosa ya maadili..hili jamabo nililitegemea hasa tukielekea kwenye uchaguzi wa october.kwangu mimi nimenusa hataribya mtego uliotegwa na ccm kwa chadema kama wasipojinasua wakaingia kichwa kichwa wameliwa mazima na watabaki historia
Kama chadema wataamua kurudia kosa la 2015 na kumchukua member hakika atapata umaarufu mkubwa then atawaletea kiasi fulani cha mtaji wa kisiasa hata sehemu ya kusini ambaye yeye ndo prominent politicina ,na maeneo mengine ambako kuna ccm asili inayooneka kutengwa kwa siku za karibuni.lakini madhara yake ya takuwa makubwa sana huko mbeleni
Kama member ataamua kwenda ACT litakuwa pigo kubwa kwa chadema lakini ahuheni kwa ccm,ACT kitakuwa chama kikubwa cha upinzani ambacho kitaleta ushindani mkubwa kwa chadema na kuzigawa kura upinzani,lakini ni bora chadema kubaki na wanacham wake loyal ambao na amini watakuwa na impact kiasi kuliko kutema bigiji kwa karanga za kuonjeshwa!ushauri wangu
Chadema wakae mbali na membe kam ukoma kama kweli wanataka ku sustain after october 2020 tuko kwenye kipindi kigumu cha siasa ambacho ccm wamechokwa kila idara ila watatumia kila mbinu hata kama ni kimfukuza uwanachama Raisi mstaafu ili upinzani uingie kwenyw mtego ni bora kutumia silaha ulizozizoe kuliko kukodi silaha ambayo itakuletea madhara!
Sent using Jamii Forums mobile app