CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Hakuna cha mtego wala nini umetumia nguvu kubwa kuandika hamna kwakwel hata nikashindwa kumaliza kusoma. Ccm haina haja ya kufanya jambo kama hilo kwa Chadema ya sasa.

Chadema sio chama cha kuitisha CCM mwaka huu, 2015 Sio sasa uchaguzi uliopita Chadema ilikua na nguvu sana tena ya kichukua dola kabisa na kama ilishindikana kipindi kile sijui kuna miujiza gani tena chaguzi zijazo ukizongatia wananchi mwenyewe wamechoka na mauchaguzi ya kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adhabu kubwa kwa kosa dogo.
Ccm kugombea urais ni kosa kubwa sana!!
 
Kila raia was nchi hii Ana haki yakujiunga chama chochote Cha siasa kikichosajiliwa kwa mujibu was Sheria za nchi hii, chadema watawezaje mkataa mwanachama anaeomba kujiunga? Hoja yako inafikirika"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Ccm inazo rasilimali kubwa tupo wengi mno tunaofaa kuwa kampeni meneja
 
Kachero mbobezi membe. Chadema kuweni makini huyuu ata ukimwambia nakuua utoe Siri za inchi hatoi.

Upinzani tuna hali mbaya atahamia ACT chadema itagawana kura na ACT chadema vumilien mpaka 2025 labda mabeberu waamue kumg'oa jpm mbali na hapo hamna kitu.

Kama mbowe atakua sio kachero hatampa membe cheo chochote ndan ya chadema endapo atahamia.
 
Wanaccm wote nje ya ccm ni wepesi kuliko hata unyoya wa kunguru.

Kwanza wengi wao ni wachafu kwa wizi wa Mali za umma hivyo wanaishi kwa tahadhari kubwa sana.

Pia hata wakitoka madarakani kula kwao kunategemea ccm huko huko atasurvive vipi ?


Nampa Membe miezi sita tu baada ya hapo atatubu tu. macho_mdiliko,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali, kuna watu wanajifanya hii inchi ya baba zao ama ya ukoo wao, watanzania tupo milioni 50+..alafu vijana wapo wengi sana wenye maarifa tele yanini kukumbatia vizee vinavyosumbua, futa kabisa ahamia kule akaseme ameenda kuongeza nguvu😉😉.

Kuanzia leo onwards, naiamini kamati ya ccm ya maadili yenye meno makali, kanyaga twende...nakuja kuchukua kadi yenu nami niwe mwanachama wenu, nimeanza kuwakubali kiaina
 
Back
Top Bottom