figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kama kweli vizuri sana,kama janja janja ilmuradi muda upite tutajua mapema Tena Muda muafakaIKikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekubaliana na umuhimu wa kupatikana katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa hivyo kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wake kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.
====
1. Maridhiano ya kifaifa.
2. Kufufuliwa kwa mchakato wa Katiba kwa kuzingatia mazingira ya bora ya sasa.
"Chama cha Mapinduzi tunasisitiza umuhimu wa uwepo wa Katiba mpya kwa kuzingatia mazingira ya sasa na kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na kukamilisha mchakato wa katiba mpya kwa masilahi mapana ya taifa na maendeleo kwa ujumla." ameeleza Ndg. Shaka Hamdu Shaka, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ya Taifa - Itikadi na Uenezi wakati akizungumza na wanahabari.
Gete gete ....Amakweli Sukuma gang inashambuliwa, pande zote.
Mkuu wa malaika, watuwako wanaumizwa huku hawana pa kuegemea!
Kwani Kikwete si aliipeleka katiba mpya mpaka pale alipojikuta wale waliokuwa wakimpresha kumbe lao halikuwa maudhui ya katiba? Kwao lilikuwa kujiondolea vile walivyoona kama vikwazo kushinda uchaguzi na kuingia Ikulu.Nchi ni ya Watanzania wote, Hakuna haja ya watu kujimilikisha Kipande. Nawaona waliokuwa wanaizodoa CHADEMA wakipiga U-turn Kali.
Nilivyoona kakosea hilo neno nikaacha kusoma.Lidhia = Ridhia
Acheni kupotosha kinachowapeleka ikulu ni time huru kama ingekua hiko ni kigezo si wangeendelea kubaki.Kwani Kikwete si aliipeleka katiba mpya mpaka pale alipojikuta wale waliokuwa wakimpresha kumbe lao halikuwa maudhui ya katiba? Kwao lilikuwa kujiondolea vile walivyoona kama vikwazo kushinda uchaguzi na kuingia Ikulu.
Haya bana ngoja tuone huyu nahodha chombo atakifikisha wapi. Sisi yetu macho.
CCM wameona wasipokubali hawatakuwa na control ya kuongoza mchakato mzima na ku-manipulate kulingana na matakwa yao. Ni jambo linalotakiwa kufanywa kwa uangalifu kweli kweli kwani katibu ikiandikwa na wanasiasa ni hasara.Wamebana wameachia!
Asante Mkuu.Lidhia = Ridhia