CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

EeeenHeeee!

Habari ya kujenga uchumi kwanza imeishia njiani?

Na kile "Kikosi Kazi", jamaa wanatafuna tu, jasho la waTanzania bila kujua inachokiona CCM?

Hongera kwa wote waliokaza buti juu ya Katiba Mpya. Sasa wasilegeze mwendo CCM wakaishia kuweka Katiba yao ndiyo iwe katiba ya nchi.
 
Hatimaye kile kitabu kilichoanza kuandikwa kinamalizika.
Screenshot_20220622-200337.png
 
Acheni kupotosha kinachowapeleka ikulu ni time huru kama ingekua hiko ni kigezo si wangeendelea kubaki.

Changamoto mchakato ulikwamishwa na CCM walipokuja na Draft Yao na kutaka wa overwrite maoni ya warioba kitu ambacho kiliharibu neutrality na independence ya wajumbe hasa wa CCM.

Tyranny of numbers kiliua mchakato ule hakukuwa na concession Wala compromise ilikua ni ubabe kisa wengi ni CCM!!

Lakini kudai eti walitoka kisa waliwaza uchaguzi ni uongo, sasa muundo wa muungano ungewasaidia vipi CHADEMA kushinda Urais??
Rekebisha kidogo hapo, .Sio "maoni ya warioba"

Ni maoni/mapendekezo ya Wananchi
 
Ina maana wanapingana na maoni ya kikosi kazi,kuhusu mchakato kuanza mwaka 2025
 
Huyo Kijana Pambalu na mwenzake Mwaipaya wanastahili heshima sana
Unawajua hawa vijana wawili mkuu 'Erythro'?. Hili ni swali tu.

Lakini nikukumbushe tu, msiache CCM ichukue jukumu la kututengenezea katiba mpya.

Tumekwishauona ubovu wa hiki chama. Sasa watatumia kila mbinu wao ndio waendeshaji wa mchakato mzima wa hiyo katiba mpya.

Ikiwezekana, anzeni na wazee kama Warioba, kuona taratibi zitakazofaa katika kuitengeneza katiba hiyo mpya.
 
Amakweli Sukuma gang inashambuliwa, pande zote.
Mkuu wa malaika, watuwako wanaumizwa huku hawana pa kuegemea!
Kwani Sukuma gang ndio waliokuwa hawaitaki katiba mpya ?! Maajabu haya !!
 
muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inakuwa na maji safi na salama.

Muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inapata umeme wa uhakika.

Muda huo na gharama zake tungehakikisha kila wilaya inakuwa na hospitali ya kubwa ya rufaa na vitanda cha kutosha..

Muda huo na gharama zake tungehakikisha pale muhimbiri tunatahini madaktari wa kutosha, mafamasia na manesi wa kutosha kuhakikisha tunapunguza gap la mgonjwa na daktari..

Hivyo navyo bila shaka vinahitaki katiba mpya, Katiba kwa sasa sio tatizo la msingi halipaswa kuwa kipaumbele cha Taifa, nikupoteza muda na rasilimali...
 
Ndio hivyo tena mkuu, 'samurai', kwako wewe usiyeona umuhimu, lakini wenzio CCM ambao hawakuona umuhimu zaidi yako sasa umuhimu huo wanauona.

Hebu fumbua macho kidogo, pengine nawe utauona umuhimu huo. Usifunge akili yako.
Hayo ya Muhimbili na mengine yote unayoyaweka hapo, kila mmoja wetu anayataka, lakini usiyafanye kuwa ndiyo yawe kisingizio cha kutokuwa na Katiba inayohakikisha hata hayo yanapatikana chini ya katiba hiyo mpya.
Kwa sababu itayawezesha kuwepo.
 
m

mimi sio CCM wala CDM naishi na misimamo yangu, atakayeangukia kwenye misimamo yangu kulingana na fikra zangu wakati huo utaniona niko naye...

Katiba ya zamani imezuia nini Watanzania wasipate umeme wa uhakika na maji safi na salama na Katiba mpya itakuja na uchawi gani watanzania wakavipata hivi kwa haraka?
 
Ni haki yako, kama wenzako nao walivyo na haki zao.

Sasa walio upande wa pili unakosimamia wewe, na wao wanasema Katiba Mpya ni Haki yao; hata kama hii unayoipambania wewe haikuzuia hayo unayodhani yangetekelezwa kama Katiba Mpya ikiachwa pembeni.
 
muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inakuwa na maji safi na salama.

Muda huo na gharama zake tungeutumia kuhakikisha kila kaya inapata umeme wa uhakika.

Muda huo na gharama zake tungehakikisha kila wilaya inakuwa na hospitali ya kubwa ya rufaa na vitanda cha kutosha..

Muda huo na gharama zake tungehakikisha pale muhimbiri tunatahini madaktari wa kutosha, mafamasia na manesi wa kutosha kuhakikisha tunapunguza gap la mgonjwa na daktari..

Hivyo navyo bila shaka vinahitaki katiba mpya, Katiba kwa sasa sio tatizo la msingi halipaswa kuwa kipaumbele cha Taifa, nikupoteza muda na rasilimali...
Power is nothing without control, hayo yoote uliyosema maji madaktari etc , kama hakuna control ya uhakika hayatimii , tumeimba hayo toka tulipopata uhuru hatukufanikiwa kwa sababu ,katiba yetu inawafanya viongozi kuwa miungu watu .
Tunahitaji pa kuanzia na katiba ndo square one.
 
Mtihani wa kwanza utaanzia pale namna ya kuwapata wajumbe watakaoingia kwenye hilo bunge la Katiba, CCM kwa umiliki wake wa taasisi karibia zote nchi hii wanatakiwa waondoe ubinafsi, waweke maslahi ya taifa mbele kama kweli wana dhamira ya dhati.
Mama naona ana nia ya dhati, kama kina Mbowe nao watakubali kukosa mambo kadhaa Ili wapate mengine basi mchakato utafanikiwa. Ila Kila mtu akiingia kwa majadiliano wakiwa na hardliners basi utafia njiani na hautofufuliwa kamwe.
 
Nchi hii mpaka chama tawala kitake katiba mpya ndio itapatikana?!!!
 
Back
Top Bottom