CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

CCM yaridhia Katiba Mpya, kwamba ni takwa la Wananchi, je itaafikiwa na Wananchi?

kwahiyo katiba mpya itazuia watu wasihamishwe, katiba ya zamani inaruhusu watu kuhamishwa....?
Katiba mpya itaweka misingi imara itakayosaidia Katiba pendekezwa kusimamiwa imara kama inavyostahili,

Hakutakuwa na mzizi ulijichimbia chini kuliko mihimili mingine, kwa hiyo haki itatendeka!
 
Kuna mambo ya msingi ambayo ni "irridusable".
Sitegemei pawepo na 'compromize' kwenye maswala kama hayo.

Kwa hiyo tusianze kuwalainisha mapema hivi waondokane na u'harliner' kwa jina la 'compromize' kungali mapema hivi.
There is always room for ammendments kuliko tukose vyote. Kila mtu akiwa na msimamo mkali nani atapitisha katiba??
 
Mtihani wa kwanza utaanzia pale namna ya kuwapata wajumbe watakaoingia kwenye hilo bunge la Katiba, CCM kwa umiliki wake wa taasisi karibia zote nchi hii wanatakiwa waondoe ubinafsi, waweke maslahi ya taifa mbele kama kweli wana dhamira ya dhati.
Mkuu wamejifunza. Hata walipouteka ule mkachakato wa Warioba je waliipata?

Katiba Mpya ni shirikishi ukijidai kuhodhi hufiki popote.
 
Unawajua hawa vijana wawili mkuu 'Erythro'?. Hili ni swali tu.

Lakini nikukumbushe tu, msiache CCM ichukue jukumu la kututengenezea katiba mpya.

Tumekwishauona ubovu wa hiki chama. Sasa watatumia kila mbinu wao ndio waendeshaji wa mchakato mzima wa hiyo katiba mpya.

Ikiwezekana, anzeni na wazee kama Warioba, kuona taratibi zitakazofaa katika kuitengeneza katiba hiyo mpya.
Kama ikiwezekana hata bunge livunjwe tu I'll katiba mpya ipatikane.

Tumechoka na miongozo na taarifa zisizo na tija wanapoelezwa matukio au udhia sehemu Fulani katika Jimbo. Mbunge hawezi kueakilisha taafa ya uwongo kuhusu wananchi wake.


Raha Sana
 
uchaguzi uliporudiwa nini kilitokea?
Umesahau Raila alijiapisha....

unayajua maoni ya Wakenya kwasasa kuhusiana na hiyo katiba mpya unayowsifia nayo?

Hivi unajua hiyo katiba mpya wakenya wa kawaida wameshaanza kuiona kero..
Hivi unajua Kenya pamoja na kuwa na katiba mpya bado mpaka leo wana migogoro ya kisiasa kila leo?.....
Mkuu dunia ni kijiji
Kenya wanaweza kuwa na mapungufu yao na wanaweza sort huko mbele ya safari
Hili la wabunge kuvuliwa uanachama na bado wanaingia bungeni umeliona wapi kwa dunia ya leo?
 
Mkuu dunia ni kijiji
Kenya wanaweza kuwa na mapungufu yao na wanaweza sort huko mbele ya safari
Hili la wabunge kuvuliwa uanachama na bado wanaingia bungeni umeliona wapi kwa dunia ya leo?

Katiba ya zamani inaruhusu hilo?...
 
There is always room for ammendments kuliko tukose vyote. Kila mtu akiwa na msimamo mkali nani atapitisha katiba??
Kuna yasiyowezekana kupunguzwa chochote, na bado mkakubali kuafikiana, if you know what I mean (it may sound as a cliche, but that's what it is.)
 
Kuna yasiyowezekana kupunguzwa chochote, na bado mkakubali kuafikiana, if you know what I mean (it may sound as a cliche, but that's what it is.)
The so called minimum irreducible demands hazina maana yoyote when it comes to negotiations especially kama haupo kwenye position of power.
 
Katiba ya zamani inaruhusu hilo?...
Moja ya takwa la katiba mpya ni kupunguza mamlaka ya rais na immunity yake
Rais anaweza kushtakiwa kwa misconducts akiwa kazini, ndio sababu uhuru anajiweka mbali na ruto .
Mchakato tu huu tuofanya wa kwenda kununua ndege nje ya makubaliano na bunge , kwa wenzetu hapo jirani ni kosa linaloweza kugharimu mamlaka
 
Kinachofanywa na CCM ni kutoa ridhaa kwa Rais ambaye ni M/kiti wao, Kuendelea na mchakato aliouanzisha binafsi pasipo kujadiliwa wala kibali cha Vikao vya Chama chake. Ikumbukwe CCM haijawahi tamko la kukataa Katiba Mpya bali muda na namna ya upatikanaji.
 
Hiyo ni matokeo ya Chuma Mbowe,hoja kwa hoja. Sio yule Chuma Chakavu dikteta alikuwa anabwata na maguvu tu hoja hana
 
The so called minimum irreducible demands hazina maana yoyote when it comes to negotiations especially kama haupo kwenye position of power.
"Position of power"hapa anayo mTanzania, siyo chama chochote cha siasa wala serikali inayoongozwa na chama cha siasa.
 
Moja ya takwa la katiba mpya ni kupunguza mamlaka ya rais na immunity yake
Rais anaweza kushtakiwa kwa misconducts akiwa kazini, ndio sababu uhuru anajiweka mbali na ruto .
Mchakato tu huu tuofanya wa kwenda kununua ndege nje ya makubaliano na bunge , kwa wenzetu hapo jirani ni kosa linaloweza kugharimu mamlaka

Je kuna kipengele chochote cha kumuadhibu Rais akishindwa kuleta maendeleo kwa wananchi?

hayo makosa uliyoyataja yatawezekana kama hakuna ushahidi?... Ni wapi duniani vipengele hivyo vimezuia MaRais kutumia madaraka yao vibaya na kuachwa kula rushwa....

Je Rais hawezi kutumia madaraka yake kuficha ushahidi? na kuwarubuni wa chini yake wenye tamaa?...

Uhuru Kenyata wa Kenya mbona anatuhuma kibao toka kwa raia pamoja na Katiba mpya?.....
 
hayo makosa uliyoyataja yatawezekana kama hakuna ushahidi?... Ni wapi duniani vipengele hivyo vimezuia MaRais kutumia madaraka yao vibaya na kuachwa kula rushwa....

Je Rais hawezi kutumia madaraka yake kuficha ushahidi? na kuwarubuni wa chini yake wenye tamaa?...
Trump na Nixon ukitafuta habari zao unaweza kujibu hayo uliyouliza hapa.
Kuna mifano mingine mingi tu.
 
Je kuna kipengele chochote cha kumuadhibu Rais akishindwa kuleta maendeleo kwa wananchi?
Hapo ndipo ujamaa unapofeli,
Rais anatakiwa aweke mazingira mazuri ya raia wake ili wapate ustawi mzuri, sheria nzuri , haki n.k
Tumezoea uongo ndo mana kiongozi anajinasibu anaweza kuwaletea hiki na kile na tulivyo mazuzu tunaamini bila kutafakari.
Maendeleo ya mwananchi yanaletwa na mwanachi mwenyewe na si kiongozi
 
Back
Top Bottom