Watanzania, tujizuie sana kuendekeza au kujizoeza kutamka maneno ambayo sio tu ni ya kibaguzi na kikabila Bali pia yanatia hasira,
Na maneno kama haya yakitamkwa na kutamkwa kwa kipindi kirefu bado hujenga hilo linalotamkwa kuwa kweli,
Na madhara baadaye ni kugawa taifa na utaifa wetu,
Kwa ni I hoja yako inapoisha lazima utaje neno Sukuma gang’,
Unajuaje labda hiyo hoja unayozhani hai Sukuma gang hawaipendi, kumbe wapo wengi wanaokuunga mkono,
Sio lazima hai sukuma gang wapende au wasipende hiyo hoja yako, wapo wanaoipenda hoja yako vilivile.
Hoja yako ikiwa nzuri na wakaipenda kama Watanzania kiujumla, wakifikia hilo neno la kiubaguzi, sidhani kama wataipenda tena, maana ni neno ambayo linajenga uhasama na maudhi vilevile.
Tuache kushabikia maneno ambayo yanaudhi, mwisho wake siku zote sio mzuri.
Ni ushauri tu