samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,476
- 24,264
Hapo ndipo ujamaa unapofeli,
Rais anatakiwa aweke mazingira mazuri ya raia wake ili wapate ustawi mzuri, sheria nzuri , haki n.k
Tumezoea uongo ndo mana kiongozi anajinasibu anaweza kuwaletea hiki na kile na tulivyo mazuzu tunaamini bila kutafakari.
Maendeleo ya mwananchi yanaletwa na mwanachi mwenyewe na si kiongozi
Kwanini Wananchi wa Tanganyika wameshindwa kujiletea maendeleo?