CCM yatangaza kuachana na siasa za kibabe na kurudi kwenye siasa zake za asili za Upendo na Urafiki mwema!

Hii imekuja baada ya Mungu kuwapa adhabu ya pigo moja takatifu tu Kama la pharaoh kule Misti ya kale

Lazima wawe wapole au wakomae wapewe pigo jengine takatifu
 
Tume huru ni jukumu la serikali siyo CCM!
Kiongozi mkuu wa serikali ni Chairman wa CCM, Baraza la mawaziri limesheheni senior members wa CCM, Katibu mkuu kiongozi na makatibu wa wizara wansteuliwa na Chairman wa CCM, wakuu wa vyombo vyote vya dola wanateuliwa na chairman/woman wa CCM, speaker wa Bunge anapendekezwa na CCM, Judge Mkuu anateuliwa na chairman/woman wa CCM.. wakuu wa taasisi zote za serikali wanateuliwa na chairman/woman wa CCM...the list goes on and on.
 
shairi la wimbo wake hotubani
 
Feb 5 mwaka 20216
Yule shetani alitangaza kwenye shetehe za kuzaliwa kwa ccm
 
Reactions: Mj1
Unatangaza amani huku mkononi umeficha panga nyuma,hao ndiyo CCM! Ulaghai Ni moja ya sera adhimu ya chama.
 
Huwezi kuitaja Serikali bila kuitaja CCM
Umenielewa??

Maana shinikizo likitoka kwenye vikao vya CCM na Asasi za Kiraia na kelele nyingi kwa raia Serikali ya CCM ndio yenye jukumu la kukubali Katiba Mpya iandikwe au laah
 
Safi sana. Kwa hiyo habari za ubabe na kutekana zitabaki historia siyo?
 
Sidhani kauli hii yatosha kukisafisha chama hiki ambacho kina tuhuma lukuki nyingi zaidi ya hizo za kutesa, kuumiza, kupoteza watu na wizi wa kura uliotukuka.
Sera mbovu za fedha ziko zaidi Tz
 
Vyama makini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…