Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekuja baada ya Mungu kuwapa adhabu ya pigo moja takatifu tu Kama la pharaoh kule Misti ya kaleKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi Iendelee!
Kiongozi mkuu wa serikali ni Chairman wa CCM, Baraza la mawaziri limesheheni senior members wa CCM, Katibu mkuu kiongozi na makatibu wa wizara wansteuliwa na Chairman wa CCM, wakuu wa vyombo vyote vya dola wanateuliwa na chairman/woman wa CCM, speaker wa Bunge anapendekezwa na CCM, Judge Mkuu anateuliwa na chairman/woman wa CCM.. wakuu wa taasisi zote za serikali wanateuliwa na chairman/woman wa CCM...the list goes on and on.Tume huru ni jukumu la serikali siyo CCM!
shairi la wimbo wake hotubaniKatibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi Iendelee!
Feb 5 mwaka 20216Lini ilitangaza kuanza rasmi siasa za kibabe, chuki na uadui mpaka sasa (leo) itangaze kuacha rasmi?!!
.............Nadhani ungeiweka kuwa kwa tamko hili inakiri kuwa na siasa za kibabe, chuki na uadui na sasa inaamua kuachana nayo.
Hatuwapongezi wala nini........................ Walipaswa tu (kwa msemo wa Mh. Mwanri)...Sukuma ndani tu.........
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi Iendelee!
Huwezi kuitaja Serikali bila kuitaja CCMKiongozi mkuu wa serikali ni Chairman wa CCM, Baraza la mawaziri limesheheni senior members wa CCM, Katibu mkuu kiongozi na makatibu wa wizara wansteuliwa na Chairman wa CCM, wakuu wa vyombo vyote vya dola wanateuliwa na chairman/woman wa CCM, speaker wa Bunge anapendekezwa na CCM, Judge Mkuu anateuliwa na chairman/woman wa CCM.. wakuu wa taasisi zote za serikali wanateuliwa na chairman/woman wa CCM...the list goes on and on.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwel tena wasenge kwelCcm na Act wote ni wajinga wamefunga ndoa ya kinafiki
Safi sana. Kwa hiyo habari za ubabe na kutekana zitabaki historia siyo?Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi Iendelee!
Sera mbovu za fedha ziko zaidi TzSidhani kauli hii yatosha kukisafisha chama hiki ambacho kina tuhuma lukuki nyingi zaidi ya hizo za kutesa, kuumiza, kupoteza watu na wizi wa kura uliotukuka.
Vyama makini 😂😂Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa sekretarieti mpya ya CCM na vyama makini vya upinzani ikiwemo ACT wazalendo wamepongeza.
Kazi Iendelee!
Hahahaaaa........!Vyama makini 😂😂
Bwashee hao walikua wanajitesa, kujiteka kama yule dogo 🤣 na kujipoteza mazima 😂😂😂😂Tuhuma bila ushahidi ni uzushi tu!
Hahahaaaa...... Zitto Kabwe janja janja sana!Bas
Bwashee hao walikua wanajitesa, kujiteka kama yule dogo 🤣 na kujipoteza mazima 😂😂😂😂
Yule chalii ni nomaHahahaaaa...... Zitto Kabwe janja janja sana!