CCM yateua Wagombea katika ngazi ya Mkoa na Wilaya. Baba wa Sabaya (aliyekuwa DC Hai), ateuliwa kugombea Arusha

CCM yateua Wagombea katika ngazi ya Mkoa na Wilaya. Baba wa Sabaya (aliyekuwa DC Hai), ateuliwa kugombea Arusha

Hii nchi imekua na mambo ya hovyo sana...🤨

Yaani nimejikuta napata hasira tu.😕
 
Yes Sexless. Ila hapo tunamuandalia kijana kupambana na Lema na kumfanya king pin wa Kaskazini. Mrisho aage tu sasa.
G. Lema ni namba nyingine. Sabaya hakuwa tishio kwa Lema, bali dikteta jiwe ndiye alimsumbua Lema
 
G. Lema ni namba nyingine. Sabaya hakuwa tishio kwa Lema, bali dikteta jiwe ndiye alimsumbua Lema
Ni kweli lakini si twajua appearance ndio kila kitu? Sasa hata kama hatuna nguvu hatuwezi kaa kama Mrisho.

Lazima show za kibabe za hapa na pale na kuonyesha tunakubalika.

Tutavuta wawili watatu na ma business men wachache ili mradi tu tusiishi kinyonge kama sasa.
 
CCM inapenda sana watu wenye talanta ya ukatili na umwagaji damu.
FB_IMG_1591342478234.jpg
 
Nilichopenda majina mengi ngazi ya mkoa ni wenyeji wa maeneo husika
 
Baba hana ubaya. Mfedhuili ni mwanaye Sabaya
Miaka kadhaa iliyopita, ililetwa taarifa kuwa huyo Baba yake Sabaya akiwa DC aliwahi kudhihirisha ukatili mkubwa, na wwtu walihoji kama ukatili upo genes, kiasi cja kurithiwa na mwanae.
 
Back
Top Bottom