CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

CCM MILELE AMINA wanapendeza watu wa iringa

Wapinzani Mayumbu watupishe tu njiani
Wasitafute kudai wametekwa kutafuta Kiki za kizamaniโœ๏ธ
 
Safiiiii watu wa Iringa โœ…๏ธ

Bado Mayumbu yakwambia kapigiwa kura nanani๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ๐ŸซŽ
Yani nyoni yote iyoo isipige kura kisa uyuu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • b9eae190-b35b-11f1-b949-71f91f81d1ab.jpg.webp
    24.6 KB · Views: 11
  • IMG_6157.jpeg
    56.7 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ