C0000-5068-428-1
Member
- Sep 6, 2026
- 58
- 44
- Thread starter
- #21
kidumu chama Tawalakidumu chama cha mapinduzi!!
kidumu chama Tawalakidumu chama cha mapinduzi!!
Zidumu fikra za Samia na Chivayokidumu chama Tawala
yakupasa na wewe uwe shatani vile vile.ni upendo tu hawajajazwa
Chama cha mamaku!kidumu chama cha mapinduzi!!
Inasikitisha mno mno mnoKwa asilimia 90 hapo naona kama ni watoto wa shule
Si bora Samia anakumbatiwa na bilionea kuliko mama yako anapata kumbato la walevi ndyo sababu umezaliwa mtoto wa laana usiye na heshimaSamia yuko bize na kumbato la Chivayo
Hapo wengi wao wamesombwa na malori kufika hapo
Hawakuchelewa kukwea mabasi yaliyokodiwa ili warudi Idodi,Pawaga,Ilula,Isimani na Mafinga?
Saw,umesomeka.Lakini,jifunze uandishi na kanuni zake.Umewafikiria wengine walevi halafu wewe ndiyo umeamdika kilevi mbwa.Jamii forum wana Member wa miaka mingi lkn yumkin ni walevi sana kwasasa
Kazi yao kutukana tu
watoa Hoja tu👈 sio kujenga Hoja kinzani kwa lengo la kuelimisha jamii ya Wananchi‼️
Awana aibu kulinda heshima za ID zao za zamani 😇😇 naisi kwasasa ni Walevi m'bwa wamejichokea kwa pombe✍️