CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

Kwa hiyo IGA ni Agreement sio, kati ya nchi na nchi.
 
Subiri 2025.
Oh I can't wait!
Sisi tunasubiri Khanga na Tshirts za 2025 zifikie bandari mpya ya DPW TPA Dar.
Ukinitafuta vizuri, nimezungumzia Khanga na Tisheti za CCM 2025;Nimeshauri wananchi wazibebe tu kwani hakuna shida kupokea zawadi, ila basi, wakishafanya hivyo waweke alama ya hapana
[❌]
Katika box

No to DPW, No to Neo-colonialism.
 
Halmashauri kuu ya CCM imepitisha mkataba wa DTW kama ulivyo pamoja na kelele zote zilizopigwa na wataalam wa sheria na baadhi ya viongozi wetu wastaafu.
Baadhi ya vipengele vinvopigiwa kelele ni pamoja na:
1. Mkataba kuendeshwa kwa kutumia sheria za Uingereza. Hawaoni kuwa kitendo hiki kinadhalilisha mahakama zetu? Uhuru wetu uko wapi ikiwa tuanamruhusu mwekezaji atupe sharti la kutumia sheria za mkoloni.
2. Kesi kusuluhishwa kutumia mahakama za Afrika kusaini. Hii ni sawa kwa mtazamo wao?
3. Vigezo vipi vilitumika kuipata kampuni hii. Je walishindanishwa na kampuni zingine?
4. Sababu zipi zililazimisha kusaini mkataba unaoemda kinyume na sheria ya maliasili iliyotungwa na serikali ya Magufuli Samia akiwa makamu wa rais?
Haya ni maswali ya msingi ambayo NEC ilipaswa kujiridhisha nayo kama kweli tunataka kufuata utawala wa sheria na kulinda uhuru wetu. Vinginevyo tunawezaje kusema sisi ni nchi huru wakati hatuna hata mahakama isiyoaminika na serikali yenyewe.
 
12 July 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Comrade Sophia Edward Mjema katibu itikadi na Uenezi CCM na wanachama wa CCM wapewa elimu kuhusu mkataba wa DP World


Ilani ya CCM 2020 - 2025 Ukurasa 92 ibara 59 paragraph (b) maboresho ya bandari yatajikita katika ujenzi wa maghala, kupanua njia ya kuingia bandarini ..... hakuna sehemu Ilani ya CCM inaposema kuwa itabinafsisha bandari kwa mwekezaji
 
 
Punguani siyo punguani!
Chizi kama siyo chizi!
Jinga kama siyo jinga!

Zingatia, kawakaribisha warabu kotekote. Zingatia, KOTE KOTE!

Mimi nadhani, tulipuuze.
 
Naona ndugu yetu upo serious na hili taifa kuliko maelezo[emoji106][emoji817]
 
"Alievujisha huu Mkataba wa Bandari ametuvua Nguo, tumeweka Ujinga wetu wote hadharani" Kabudi ClubhouseView attachment 2694190

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa.

Baada ya CCM kukubali ushirikiano (IGA) na "Serikali" ya Dubai, wananchi wakipinga baadhi ya vifungu na kulaani BUNGE la wawakilishi kuridhia, bado najiuliza kama kweli tunao viongozi wenye maono. Je, hakuna njia nyingine ya kuboresha bandari na uendeshaji wake isipokuwa hao DPW?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…