Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
tuliamini hivyo ila siku zinaenda, tunaona wanarithishana tu ujinga ule uleKitakuja kizazi cha maofisa wa jeshi vijana kitakataa uwendawazimu huu.
Jesus is Lord
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliamini hivyo ila siku zinaenda, tunaona wanarithishana tu ujinga ule uleKitakuja kizazi cha maofisa wa jeshi vijana kitakataa uwendawazimu huu.
CCM ni Taasisi yenye madhumuni, imani na Sera ambazo haziungi mikataba ya hovyo. Kama utaweza kutoa mfano hata mmoja tu, hoja yako itakuwa na nguvu.Walioingia huu mktaba ovu ni ccm, wanaobariki ni ccm.
ILA CCM wanatakiwa kufahamu kuwa "Raslimali za Tz ni za wa Tz na sio za CCM.
Wameshauza nyingi sana, wamedhulumu sana, raslimali zetu kama zao peke yao!
Wakumbuke mwisho wake ni mbaya sana sana kwao !
Haya ya kutafuta mitaji unayoyasema ni siasa za miaka yote, zimeshajaribiwa na kushindwa kwenye utekelezaji mzima.Hoja yangu haihusu bandari kutokuboreshwa, ikizingatiwa uwezo na ufanisi wa SGR.
Pia hoja siyo ukubwa na uwezo wa DPW kuendesha bandari.
Sababu hizo 2 ndio msingi wa utetezi wa uwekezaji wa DPW kupitia mgongo wa nchi yao, Emirate ya Dubai, bila kutilia maanani vifungu batili vya makubaliano (IGA). Yaani tuko wanyonge ("hopeless") kiasi cha kuingia aina hiyo ya makubaliano. Mimi, na wenye mawazo kama mimi, nasema HAPANA.
Kuna njia sahihi za "nipe-nikupe" ("win-win situation") kuboresha bandari zetu, ikizingatiwa nchi ilivyo na utajiri wa rasimali. Nimetoa mapendekezo kadhaa, ambayo unakwepa kuyahoji, km JMT kutafuta mitaji na kutumia makampuni yenye uwezo, ikiwemo DPW, kuboresha bandari zetu kwa masharti yetu wenyewe kuliko kujiona wanyonge wa kujisalimisha kwa makubaliano yenye kudharilisha.
HAPANA kwa hayo makubaliano (IGA). Serikali iandae kongamano, wadau tujadili yaliyomo kwenye IGA.
Imeisha hiyo! We endelea kutokwa povu Mama anachanja mbuga katika kuwaletea maendeleo Watanzania.Hiyo kamati ya wajinga imekutana ikiongozwa na mawazo ya msaliti, ndio maana wamekuja na maazimio batili.
Kamati badala ituambie watanganyika, hayo manufaa ya uwekezaji wa bandarini yapo kwenye kifungu gani kwenye ule mkataba wa hovyo na waarabu, badala yake wanatuambia manufaa yapo kwenye ilani ya CCM, ibara ya 59, ukurasa wa 92!.
Kwani waarabu walisaini kwenye ilani ya CCM ya 2020-2025, au kwenye IGA?!
Halafu kuna wajinga wanaotaka hawa vilaza wakosolewe kwa sauti za kubembelezwa, Samia ni msaliti asiye na huruma na watanganyika.
Kuuza rasilimali ni neno la jumla linaloandikwa kiuchochezi zaid kuliko kujengewa hoja yenye mantiki huo uuzaji wenyewe maana yake ni nini haswa.Walioingia huu mktaba ovu ni ccm, wanaobariki ni ccm.
ILA CCM wanatakiwa kufahamu kuwa "Raslimali za Tz ni za wa Tz na sio za CCM.
Wameshauza nyingi sana, wamedhulumu sana, raslimali zetu kama zao peke yao!
Wakumbuke mwisho wake ni mbaya sana sana kwao !
Ukisikia Kiburi, ndicho hicho. Tena na dharau juu yake.Hawa watu wako out of touch. Hawaoni wala hawasikii. Vyombo vya dola havitawasaidia kama wanavyofikiri.
Hakuna mtu anakataa mkataba, watu wanahoji vifungo hovyo vilivyopo kwenye mkataba......Kuuza rasilimali ni neno la jumla linaloandikwa kiuchochezi zaid kuliko kujengewa hoja yenye mantiki huo uuzaji wenyewe maana yake ni nini haswa.
Wakati tunapiga hizi siasa za midomoni na humu JF tukumbuke kuwa Rwanda, Congo wameshaipokea hii kampuni kwa kusaini mikataba ya kuanza kazi.
Sisi tunapoteza muda bila ya kuangalia kwa mapana ni kipi tunachokwenda kukipoteza kama taifa. Tunapoteza muda kwenye siasa za harakati wakati dunia halisi haina muda wa kutusubiri eti tuondokane na ujinga kwanza uliomo vichwani mwetu.
Vimeshaelezewa zaidi ya mara elfu moja, watu wameamua kuweka pamba masikioni, wameamua tu kuupinga uwekezaji.Hakuna mtu anakataa mkataba, watu wanahoji vifungo hovyo vilivyopo kwenye mkataba......
kama hujausoma ni wewe usifikiri kila anayeandika humu yupo kama wewe punguwani weweacha unafiki mkataba wenyewe haujausoma, watanzania wanapenda kudandia vitu kutafuta kiki utafikiri wanajua kila kitu kumbe nothing, Samia twende wasikucheweshe
HATOGOMBEA .Chama cha Mapinduzi kimeweza kuruka mtego wa Wapinzani kuhusu uwekezaji ndani ya Bandari ya Dar es saalam na kuwaacha Wapingaji Wapotoshaji na Wapinzani wakipigwa na butwaa usiku wa leo.Ni maamuzi ambayo hayakutarajiwa na Wapinzani wa mradi huo muhimu,CCM imeshachukua points tatu muhimu so far.
Wewe umeelewa kwanini walipeleka Bungeni huu mkataba?Vimeshaelezewa zaidi ya mara elfu moja, watu wameamua kuweka pamba masikioni, wameamua tu kuupinga uwekezaji.
Bungeni ilikwenda agreement ya IGA, ipate baraka ya wananchi ili miradi ya HGAs iweze kuanza kusainiwa kati ya wanasheria wazalendo na wale wanasheria wa wawekezaji.Wewe umeelewa kwanini walipeleka Bungeni huu mkataba?