Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Sijui umbea na uongo unawasaidia nini?

Too low propaganda
 
Kwani wakati anaondoka walimsindikiza?
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano
Huu usanii wanauweza CCM tu, mpinzani hawezi vaa gagulo la ccm policcm wakamwacha hivi hivi. Hata Membe akitua Leo utaona ulinzi utakavyoimarishwa airport utadhani kuna tiahio la ugaidi kumbe kuna MTU katishika kuporwa madaraka.
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano
Sio kwa ccm hii ya magu..upuuzi huo ilikuwa enzi za jk.
 
Hata mwanzoni mlikuwa mnasema ni uzushi ila juzi Bashiru kathibitisha kuwa huko CCM kuna fukuto la Membe kutaka kugombe uraisi 2020.
Unaongelea Bashiru yupi? Huyu Katibu mwenezi wa CHADEMA? Bashiru anayeeneza propaganda za CHADEMA eti Membe anataka kugombea 2020!
 
Sawq Sawa, lakin rais ni kachero membe, kwan we unaumia sana?
 
Mkuu kuwa na utu ...

Na dhambi ya unafiki ni mbaya ...

Leo ndo unakumbuka kuja kutuona sisi wagonjwa ...

Na wafungwa wa gerezan for the sake of camillus ...

Ooh my mother land country am crying for you [emoji20][emoji20]
Kwani mnaruhusiwa kumiliki cm huko kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…