CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.

CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.

Je hii ni haki?

Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
ab0de2a0cd00434293ece90650838bec.jpg
fd5940e3848443138d1593ab52b27e0e.jpg
 
Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.

CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.

Je hii ni haki?

Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
wapuuzi hawa wamezamilia kusalia madarakani kwa njia za kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, bila mabadiliko hakuna uchaguzi maana hakuna kura itakayokuwa na maana kuamua nani kiongozi
 
Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.

CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.

Je hii ni haki?

Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Slogani haieleweki wala haina stim.. Nikama mlevi anawapigia kelele wanakijii au kusumbua mtaa.
 
Mkuu' Mshana Jr'. Heshima nyingi mkuu. Hii ni kazi nzuri kabisa ya kukumbusha watu kwamba "NO REFORM, NO ELECTION", siyo wimbo usiokuwa na maana.

Maana yake halisi ni dondoo hizo zilizo ainishwa vizuri kabisa, ili kila mtu mwenye akili atambue msukumo wa hayo maneno ni upi.

Ni nani anayeweza kusema dondoo hizo hazina maana katika kuhakikisha uchaguzi unakuwa HURU na wa HAKI?

Kwa nini Samia Suluhu Hassan hataki uwepo wa mambo ya msingi kama haya?

Yanamzuia vipi yeye kuyatumia na kupoata ushindi anaoutafuta hata kwa kumwaga damu za watu anaowaongoza yeye?

Nini kinamtia hofu Samia?
 
Back
Top Bottom