🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii comment imenichekesha sana.🤣🤣🤣🤣Walimu kipindi hiki msifanye upumbavu wenu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii comment imenichekesha sana.🤣🤣🤣🤣Walimu kipindi hiki msifanye upumbavu wenu.
InapendezaHii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Nyie wajinga msio na akili mlilalamika walimu wanatumika , na tume ya uchaguzi ikawaondoa sasa unajua wanaotumika siku hivi ni wabaya kuliko walimu …ukiwa mtumishi wa umma ni vigumu kupingana na Chama tawala , sio rahisi.Walimu kipindi hiki msifanye upumbavu wenu.
"Kukosa Kiti"? Hicho ni kiti kinachotolewa na waTanzania kwa ruhusa yao, siyo kiti cha wao wanaokikalia sasa.Hofu ni kukosa kiti na labda viongozi waliowahi kiongoza wanaogopa kushtakiwa mahakamani.