Mkuu' Mshana Jr'. Heshima nyingi mkuu. Hii ni kazi nzuri kabisa ya kukumbusha watu kwamba "NO REFORM, NO ELECTION", siyo wimbo usiokuwa na maana.
Maana yake halisi ni dondoo hizo zilizo ainishwa vizuri kabisa, ili kila mtu mwenye akili atambue msukumo wa hayo maneno ni upi.
Ni nani anayeweza kusema dondoo hizo hazina maana katika kuhakikisha uchaguzi unakuwa HURU na wa HAKI?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan hataki uwepo wa mambo ya msingi kama haya?
Yanamzuia vipi yeye kuyatumia na kupoata ushindi anaoutafuta hata kwa kumwaga damu za watu anaowaongoza yeye?
Nini kinamtia hofu Samia?