CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

Mkuu' Mshana Jr'. Heshima nyingi mkuu. Hii ni kazi nzuri kabisa ya kukumbusha watu kwamba "NO REFORM, NO ELECTION", siyo wimbo usiokuwa na maana.

Maana yake halisi ni dondoo hizo zilizo ainishwa vizuri kabisa, ili kila mtu mwenye akili atambue msukumo wa hayo maneno ni upi.

Ni nani anayeweza kusema dondoo hizo hazina maana katika kuhakikisha uchaguzi unakuwa HURU na wa HAKI?

Kwa nini Samia Suluhu Hassan hataki uwepo wa mambo ya msingi kama haya?

Yanamzuia vipi yeye kuyatumia na kupoata ushindi anaoutafuta hata kwa kumwaga damu za watu anaowaongoza yeye?

Nini kinamtia hofu Samia?
Mkuu Kalamu hebu soma hii[ tena.. Ipo kwa maslahi yetu soteATTACH=full]3360113[/ATTACH]
 

Attachments

  • 20250608_030243.jpg
    20250608_030243.jpg
    188.7 KB · Views: 16
Kuna mtu hapo kashapiga pesa za Kodi zetu kwa Hilo lislogani.

Lakini mbele ya slogan Yao tutawawekea bango la
No REFORMS no ELECTION
N.RN.E hawatashinda
 
Asante sana CCM japo Kwa kuchelewa coz damage done already!

Teka teka imetuchafua sana!hashtag "oktoba tunatick"imekaa poa,ingeanza mapema sana!!

walau iwe replacement ya Teka teka,good move,angalau kitengo Cha propaganda kimejitahidi!!

Tumechelewa!!
 
Back
Top Bottom