figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ndio maana nakupendaga 🥰Nasisi tunawaambia:View attachment 3360050
wapuuzi hawa wamezamilia kusalia madarakani kwa njia za kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, bila mabadiliko hakuna uchaguzi maana hakuna kura itakayokuwa na maana kuamua nani kiongoziHii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Slogani haieleweki wala haina stim.. Nikama mlevi anawapigia kelele wanakijii au kusumbua mtaa.Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Kwa hio kwenye o ndio wame weka picha ya mama sio?Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Nasisi tunawaambia:View attachment 3360050
Hiari yashinda utumwaHii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Safi, October tunatiki
Labda uchaguzi wa nyumbani kwako.
Labda uchaguzi wa nyumbani kwako.
Kweli kabisa.Slogani haieleweki wala haina stim.. Nikama mlevi anawapigia kelele wanakijii au kusumbua mtaa.
Mkuu' Mshana Jr'. Heshima nyingi mkuu. Hii ni kazi nzuri kabisa ya kukumbusha watu kwamba "NO REFORM, NO ELECTION", siyo wimbo usiokuwa na maana.