Mkuu Kalamu hebu soma hii[ tena.. Ipo kwa maslahi yetu soteATTACH=full]3360113[/ATTACH]Mkuu' Mshana Jr'. Heshima nyingi mkuu. Hii ni kazi nzuri kabisa ya kukumbusha watu kwamba "NO REFORM, NO ELECTION", siyo wimbo usiokuwa na maana.
Maana yake halisi ni dondoo hizo zilizo ainishwa vizuri kabisa, ili kila mtu mwenye akili atambue msukumo wa hayo maneno ni upi.
Ni nani anayeweza kusema dondoo hizo hazina maana katika kuhakikisha uchaguzi unakuwa HURU na wa HAKI?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan hataki uwepo wa mambo ya msingi kama haya?
Yanamzuia vipi yeye kuyatumia na kupoata ushindi anaoutafuta hata kwa kumwaga damu za watu anaowaongoza yeye?
Nini kinamtia hofu Samia?
Hiki ndicho tunachopambaniaMkuu Kalamu hebu soma hii[ tena.. Ipo kwa maslahi yetu soteATTACH=full]3360113[/ATTACH]
Hii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
No reforms no electionHii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
Unanipa raha sana mwanawane.Nasisi tunawaambia:View attachment 3360050
No reforms No electionHii Nchi inahitaji katiba Mpya.
CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"
Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo.
Je hii ni haki?
Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
View attachment 3360048View attachment 3360049
BalaaNo reforms No election