CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

Hizo hizo wanazosambaza tutazigeuza upande wa pili tuandike
No REFORMS No ELECTION
 
Wanasambazia wapi sasa, mitandao yote ipo moto sana, akijipendekeza mtu ,ataona dunia chungu, watu wamechafukwa hawakawii kuja na cv zao dadeki, may be watumiane kwenye magroup yao ya WhatsApp, kitu ambacho impact yake ni ndogo sana
 
No reforms no election Kila mtu ashinde mechi zake
 

Attachments

  • image.jpg
    126.2 KB · Views: 20
No Reform No Election imepamba moto uko mitandaoni
Msemaji wa Serikali akiri wazi kabisa kuzidiwa uko kwenye social media...
 
Hofu ni kukosa kiti na labda viongozi waliowahi kiongoza wanaogopa kushtakiwa mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…